Asango JF-Expert Member Mar 24, 2011 234 24 Apr 22, 2012 #1 waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
frema120 JF-Expert Member Jan 1, 2012 5,099 1,338 Apr 22, 2012 #2 hanakosa, tatizo yote yaliotokea ni maelekezo ya kikwete.... so sio kosa lake hila atayeye kichwa maji hafai kama ukimwi.
hanakosa, tatizo yote yaliotokea ni maelekezo ya kikwete.... so sio kosa lake hila atayeye kichwa maji hafai kama ukimwi.
U uwazi Member Apr 3, 2012 5 0 Apr 22, 2012 #3 Mhe Waziri anahitaji msaada kutetea maslahi ya nchi katika bandari ya Dar. Mungu aingilie kati juhudi zake.
Mhe Waziri anahitaji msaada kutetea maslahi ya nchi katika bandari ya Dar. Mungu aingilie kati juhudi zake.