Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi.
Ndumbaro amesema hayo mbele ya watendaji wa Serikali za Mitaa, Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka kata 21 za Manispaa ya Songea Mjini hivi karibuni wakati wa semina ya Elimu ya Kisheria na Utatuzi wa Migogoro kwa Njia mbadala kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia.
Soma