Kwa hili mkuu nakuunga mkono walipaswa kulipwa sawa na mkataba. Kibaya zaidi wanaogopa kudai kwa sababu ukidai tu utalipwa ila kazi itaisha. Serikali ingeliangalia hilo. Japo sijui itaanzia wapi maana hawajaenda kulalamika.
Pamoja na lawama zinazosababishwa na ubabe wao hizo shule binafsi wajipange sana. Serikali iko kazini muda wote
Kazi ya Media ni nini?USSR unaleta siasa kwenye hoja ya msingi. Huyo mwalimu ameshindwa kujisimamia yeye mwenyewe na kudai haki zake halafu unataka mawaziri waingilie kati? Upumbavu gani huo? Kama hao walimu wanahisi wameonewa, walianzishe ndio Mawaziri walimalizie. Sasa wao walimu wako maana yake wamekubaliana na hali ilivyo, sasa Mawaziri wanaanzia wapi?
Mawazo yenu ya kijinga na kipumbavu ndio yameufanya upinzani ufe Tanzania.Kazi ya media ninini?
There are so many types of brain of human being, although all are divided into 3!Serikali ya awamu ya tano ipo makini sana. Tarajia utatuzi juu ya changamoto hii.
#uvccm taifa
Pole sana mabosi wenu wanakula kuku kwa pesa hiiMimi ni mmoja wa walimu tuliodhulumiwa hela za malipo ya hiyo miezi wakati wa Corona.. Tunaomba serikali itusaidie maana na hatuna serikali nyingine zaidi ya hii serikali ya Mh. Dkt John Pombe Magufuli. Tunaomba Mamlaka husika zitusaidie tupate haki yetu.
Serikali ipi?Pamoja na lawama zinazosababishwa na ubabe wao hizo shule binafsi wajipange sana. Serikali iko kazini muda wote
Ila sija quote post yako.Soma uzi uelewe mbona uelewa wako mdogo sana pitia upya hii sio ishu ya kukwepa kodi
mama D hapa serkali iingilie kati hii ni dhumla kubwa ,wakati wabunge wanamshambulia waziri ndalichako kuwa serkali ibebe huu mzigo sasa imewarudia wao .wawajibike walipe walimu