Hivi unadhani ni rahisi kiasi hicho kufuta chuo kikuu Udsm ili hali ndio nembo ya nchi?Angalia noti yako ya shilingi mia 5 uone kwanini UDSM!!UDSM wameshanaswa tayari...sijui watahamishiwa wapi masikini!
Hivyo vinamapungufu ganiCBE, TIA, IFM, AIA watapona kweli
Namuunga mkono 100%waziri wangu kipenzi. Kwa kweli kuna vyuo vingi havina sifa ya kuitwa vyuo vikuu. Wakaanze na constituent colleges za vyuo kama Tumaini, Saut etc. Mengi ni mabanda ya kuku yalijengwa haraka haraka, na hadi sasa miundombinu bado sana na wahadhiri wapo wenye bachelor degrees, yet hao ndio lecturers.Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako amesema baadhi ya vyuo vikuu vitafutwa kwa kukosa sifa, na wanafunzi walioko katika vyuo hivyo watatafutiwa vyuo vingine kuendelea na masomo yao.
Source ITV
CBE, TIA, IFM, AIA watapona kweli
Angeanza na kuifumuwa kabisa TCU badala ya kuifanyia cosmetic surgery ndo ageukie kusafisha maswaibu yaliyosababishwa na udhaifu wa TCU.Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako amesema baadhi ya vyuo vikuu vitafutwa kwa kukosa sifa, na wanafunzi walioko katika vyuo hivyo watatafutiwa vyuo vingine kuendelea na masomo yao.
Source ITV
OUT watapona kweli?
Greece alikumbwa na nini mkuu, na kikatokea niniGreece of East Africa is around the Corner!
Tutavunja Board za TRA daily kwa kutofikia Malengo.
Makonda katumwa kuja kupima Upepo wa Redundacy
Vyuo Vikuu vinafungwa
Vyuo vya Ufundi na vya Afya 21 vimeshafungwa
ATCL ishaanza fagio la Chuma kwa Wafanyakazi
Kipengele cha Ukomo wa Uongozi kiondolewe ili JPM anyooshe Nchi kwa 20 Years!
Greece alikumbwa na nini mkuu, na kikatokea nini
# ufafanuz kidogo
MmmhCBE, TIA, IFM, AIA watapona kweli
KIU ya Jibukiu ya haki???
Ni sawa na kuinyima REGISTRATION shule ya serikali ya secondary ya kata.Vyuo vya serikali havifutwi mkuu