sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
wadau nipeni contact za Moses Nape NNauye, nimwambie hivi!
Mh wazir wa habari nakuomba ufanye ziara ya kushutukiza kwenye NEWS ROOMS, yani hazina proffessional Journalist hata Mmoja zimejaa makanjanja, please anzia kwenye magazeti.
Pili Mh waziri naomba pale habari maelezo upabadilishe kiutendaji kuna mijitu mila rushwa imejaa sana pale, kipindi cha nyuma ilikuwa inakusanya pesa za PRESS CARD, na kula nyenyewe, ila sjui kwa siku hizi maana serikali yenu hatari.
Tatu, Mh waziri nakuomba, usimamishe zoezi la kutoa PRESS CARD, ili zoezi uliamishie ofisini kwako litoe habari maelezo, na ulismamishe kwa muda, usio pungua mwezi mmoja, alafu, fanya ziara za kushutukiza kwenye media hakuna mwandishi hata mmoja aliye lipia mpaka wahariri wao mkuu wangu hawajalipia.
Nne Mh waziri omba mikataba ya ajira kwa waandishi, ulitacheka mpaka ufe, unakuta NEWSROOM ina watu kibao wenye mkataba ni wawili.(ili lifanye kimnya kimnya ni aibu maana kuna mijitu ina miaka 30, inashi kwa bahasha ya kaki)
NINI UFANYE HARAKA HARAKA NA KIMNYA KIMNYA!
ili serikali ipate kipato, 1.5b, ya haraka haraka agiza kila mhandishi awe na PRESS CARD.
pili, agiza wamiliki wa vyombo vya habari kutoa mikataba haraka sana, maana serkali inakosa mapato makubwa sana, maana watu hao wakiajiriwa watalipa kodi.
Tatu, agiza haraka viwango vya Elimu vinavyostaili kufanya majukum fulani fulani mfano mhriri walau awe na Advance Diploma au degree, maana waliopo sasa ni vichekesho.
ili zoezi Nape ulifanye haraka na kimya kimya usitangaze, nakuapia utapata 1.5b.