Waziri Nape Nnauye tupia macho vyombo vya habari

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,363
wadau nipeni contact za Moses Nape NNauye, nimwambie hivi!

Mh wazir wa habari nakuomba ufanye ziara ya kushutukiza kwenye NEWS ROOMS, yani hazina proffessional Journalist hata Mmoja zimejaa makanjanja, please anzia kwenye magazeti.

Pili Mh waziri naomba pale habari maelezo upabadilishe kiutendaji kuna mijitu mila rushwa imejaa sana pale, kipindi cha nyuma ilikuwa inakusanya pesa za PRESS CARD, na kula nyenyewe, ila sjui kwa siku hizi maana serikali yenu hatari.

Tatu, Mh waziri nakuomba, usimamishe zoezi la kutoa PRESS CARD, ili zoezi uliamishie ofisini kwako litoe habari maelezo, na ulismamishe kwa muda, usio pungua mwezi mmoja, alafu, fanya ziara za kushutukiza kwenye media hakuna mwandishi hata mmoja aliye lipia mpaka wahariri wao mkuu wangu hawajalipia.

Nne Mh waziri omba mikataba ya ajira kwa waandishi, ulitacheka mpaka ufe, unakuta NEWSROOM ina watu kibao wenye mkataba ni wawili.(ili lifanye kimnya kimnya ni aibu maana kuna mijitu ina miaka 30, inashi kwa bahasha ya kaki)

NINI UFANYE HARAKA HARAKA NA KIMNYA KIMNYA!

ili serikali ipate kipato, 1.5b, ya haraka haraka agiza kila mhandishi awe na PRESS CARD.

pili, agiza wamiliki wa vyombo vya habari kutoa mikataba haraka sana, maana serkali inakosa mapato makubwa sana, maana watu hao wakiajiriwa watalipa kodi.

Tatu, agiza haraka viwango vya Elimu vinavyostaili kufanya majukum fulani fulani mfano mhriri walau awe na Advance Diploma au degree, maana waliopo sasa ni vichekesho.
ili zoezi Nape ulifanye haraka na kimya kimya usitangaze, nakuapia utapata 1.5b.
 
Sizani kama serikali inaweza kumlazimisha mtu binafsi amwajiri nani kwenye gazeti au radio yake....na kama wewe mwananchi unaona ubora wa abari utolewao na chombo hicho binafsi cha habari ni mbovu, basi achana nacho.
 
itabidi iundwe bodi ya taaluma ya waandishi wa habari itakayo simamia vigezo vya waandishi wa habari...

TCRA haiwezi kusimamia qualification za waandishi wa habari wa redio, tv na magazeti.
 
Fani zingine huongozwa zaidi na kipaji cha mtu,haiba yake,utashi wake na ubunifu.Cha kuzingatia hapa ni maadili ya kazi hiyo yanayoakisi utamaduni,mila na desturi za Taifa.
 
KUSOMA ni muhimu kwani huongeza maarifa na upeo katika fani.Mikataba ya kazi ni muhimu pia kuwepo,huongeza ari zaidi na ugunduzi kwa mfanyakazi.
 
Waziri wa habari anatuangusha sana,ving'amuzi havirushi tv za ndani pale unapokuwa hujanunua vifurushi naye tu kimya.
Pili, kunaredio wanatumia vyombo vyao kujikusanyia pesa na utajiri usio na kodi kwa kutumia hofu ya Mungu ilowajaa watu. Unaambiwa toa kuanzia laki upate Mara Kumi yake Sasa hiyo ninini? Eti usipopata basi Una imani ndogo but pesa ndoo hairudi. Itizame hii radio hapa Arusha inapiga mikwara watu wamtolee Mungu kumbe zinaishia mikononi mwa watu bila kukatwa kodi nasasa imekuwa kuigana kuvuta pesa toka kwa wananchi kwa kasi
 
wadau nipeni contact za Moses Nape NNauye, nimwambie hivi!

Mh wazir wa habari nakuomba ufanye ziara ya kushutukiza kwenye NEWS ROOMS, yani hazina proffessional Journalist hata Mmoja zimejaa makanjanja, please anzia kwenye magazeti.

Pili Mh waziri naomba pale habari maelezo upabadilishe kiutendaji kuna mijitu mila rushwa imejaa sana pale, kipindi cha nyuma ilikuwa inakusanya pesa za PRESS CARD, na kula nyenyewe, ila sjui kwa siku hizi maana serikali yenu hatari.

Tatu, Mh waziri nakuomba, usimamishe zoezi la kutoa PRESS CARD, ili zoezi uliamishie ofisini kwako litoe habari maelezo, na ulismamishe kwa muda, usio pungua mwezi mmoja, alafu, fanya ziara za kushutukiza kwenye media hakuna mwandishi hata mmoja aliye lipia mpaka wahariri wao mkuu wangu hawajalipia.

Nne Mh waziri omba mikataba ya ajira kwa waandishi, ulitacheka mpaka ufe, unakuta NEWSROOM ina watu kibao wenye mkataba ni wawili.(ili lifanye kimnya kimnya ni aibu maana kuna mijitu ina miaka 30, inashi kwa bahasha ya kaki)

NINI UFANYE HARAKA HARAKA NA KIMNYA KIMNYA!

ili serikali ipate kipato, 1.5b, ya haraka haraka agiza kila mhandishi awe na PRESS CARD.

pili, agiza wamiliki wa vyombo vya habari kutoa mikataba haraka sana, maana serkali inakosa mapato makubwa sana, maana watu hao wakiajiriwa watalipa kodi.

Tatu, agiza haraka viwango vya Elimu vinavyostaili kufanya majukum fulani fulani mfano mhriri walau awe na Advance Diploma au degree, maana waliopo sasa ni vichekesho.
ili zoezi Nape ulifanye haraka na kimya kimya usitangaze, nakuapia utapata 1.5b.

Ni mpaka pale Waandishi wa Habari wa Tanzania watakapojitambua, jiheshimu, kuacha unafiki, kutumika kama " toilet papers ", na kujiimarisha kielimu ndipo wanaweza wakaanza kusikilizwa na keheshimiwa otherwise malalamiko yako haya ni sawa sawa na kupaka rangi upepo.
 
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom