Hawajaenda waambia waongeze coverage ya mkuu wa boma kuliko mwenye kituo?Wajamaa wajinga kweli kweli.Walishazoea hata mbuzi mzuri umpe zawadi kiongozi.Hata wake za watu pia wawe wao, sasa hata kituo cha TV binafsi kionyeshe mkuu wa boma kuliko.[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Waziri wa Habari, utamaduni na Michezo Mh.Nape Nauye ametembelea kituo cha Matangazo cha ITV/RadioOne kuona namna wanavyofanya kazi.
View attachment 460934 View attachment 460935 View attachment 460936
R.I.P TBC
TBC ndio nchi/mkoa gani?Na juz alikuwa TBC
Pohamba kwa maandishi yako tu, wewe umeliona jua kitambo sana.Mengi kawa Mnyonge sana Siku hizi tangu Yule Mkwere aliekuwa akimchukia na kumpiga vijembe hadharani astaafu
Upole wa JK ulizidi sana kila mmoja akapima Ujasiri wake kwa kumtukana Rais
Pohamba kwa maandishi yako tu, wewe umeliona jua kitambo sana.
Tofauti na mabwana wadogo wengi humu ndani, watoto waliokuja Dar baada ya kifo cha JKN mwaka 1999, siku zote wao matusi mbele kama tai.
Ni kweli kabisa JMK alikuwa gentleman sana, kazi ya urais inabidi uwakunjie ndita watu ili wasikuzoee na kukusogelea hovyo.
Ni lazima mkuu wa kaya aheshimike, huwezi kumtusi mtu tu, eti kwa sababu ya uhuru wa habari, halafu mwisho wa siku uachwe tu unadunda barabarani.
Mzee Machache keshatia akili, amegundua kuwa hizi sio siku za kutafuta umaarufu wa bei rahisi. Mkwere anawachora sana watu, jinsi wanavyopelekeshwa na JPM.
Peleka maneno ya kitchen party kwa mumeoKipindi kile eti aliitisha Press conference Ikulu inataka kumuua Salva akashangaa sana Mtu anaehisi anataka kuuawa na Ikulu anaweza omba appointment na Rais na Juice akakaribishwa na akanywa?
Ukauzu wa Dr.Pombe ni muhimu sana sometime ukicheka nao wanakuona fala
Peleka maneno ya kitchen party kwa mumeo
Kama wewe ni mwanaume utakuwa kwenye lile kundi lingine la wakina Elton john mwanaume hawezi kujicheketua kama unavyofanya ngoja nikutafute uchezee mpiniHuwezi kujua Maneno ya Kitchen Party Kama Wewe hujawahi kushiriki kwny Hiyo Michezo!
Shauri yako Utatatuliwa bila ya kilainishi kushobokea Wanaume !
Kama wewe ni mwanaume utakuwa kwenye lile kundi lingine la wakina Elton john mwanaume hawezi kujicheketua kama unavyofanya ngoja nikutafute uchezee mpini
Naona bado unakata miuno kama stage show wa koffieKusemwa Kasemwa Mengi Muwasho uupate Wewe Vipi Bidada kipi kikusikitishacho?
JK mpole?Mengi kawa Mnyonge sana Siku hizi tangu Yule Mkwere aliekuwa akimchukia na kumpiga vijembe hadharani astaafu
Upole wa JK ulizidi sana kila mmoja akapima Ujasiri wake kwa kumtukana Rais
JK mpole?