Waziri na maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri na maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Jul 28, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu kauli ya waziri wa mambo ya ndani S V NAHODHA ya kusema kuwa maandamano yanawachelewesha kufanya kazi za ujenzi wa taifa ni uzembe wa mkubwa wa kufikiri uliojiumba katika akili yake.

  Hivi kundi la wanaoandamana mara moja kwa wiki lina ukubwa gani kuliko kundi la watu wasio na ajira waliozagaa kila pembe ya nchi. Hivi ni taifa gani linalojengwa kwa sasa wakati nchi nzima inakabiliwa na mgao mkubwa wa umeme.

  Wakati huo mbumbumbu wa CCM wanashangilia kwa kuunga mkono upuuzi..ole wenu! Bado kitambo kifupi sana ghadhabu za mungu zitawashukia.
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape alikuwa anafanya nini huko Mbeya na Moshi.
   
 3. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nahoza anajaribu kuyazuia Maandamano kwani anajua kabisa siku moja atatakiwa kujiuzuru kwa maandamano kwa utendaji wake mbovu .
  Ole wako UNAESHABIKIA UJINGA WA NAHODHA siku si nyingi kuna maandamano yanakuja yatawatoa tu.
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  CCM na hofu ya Maandamano ,ha ha dhana ya maandamno sasa imekomaa,wananchi siku hizi wanayaandaa hata kama hakuna chama kilichoyaaandaa i love Chadema for the innovation
   
Loading...