Waziri Mwigulu kaenda Temeke kwa askari aliyepigwa risasi

kalulukalunde

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,056
1,083
IMG-20160708-WA0032-1.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba, leo July 8 2016 ameamua kwenda hadi Temeke kumtembelea na kumjulia hali PC Shaban (F.9060) aliyejeruhiwa na majambazi wakati wa mapambano akiwa katika ulinzi wa Benki. Katika tukio hilo la ujambazi lilipelekea askari mmoja kupoteza maisha na kujeruhi wafanyakazi wa benki hiyo
IMG-20160708-WA0030.jpg

IMG-20160708-WA0031-1.jpg

Maoni yangu katika hili

Pongezi waziri Mwigulu kwa kuonyesha kuwa ujali watumishi wa wizara yako na vile vile sio mbaya kwa viongozi wengine kuiga mfano wako katika hili kwani linamfariji kwa kiasi kikubwa muhusika.
 
Mhe mwigulu barabara kuu si salama, majambazi wanazitawala usiku hasahasa mkoa wa morogoro ,wezi wamejaa kama nzi dampo.mhe mwigulu tunakuomba utoe somo kwa hawa wahalifu.
 
IMG-20160708-WA0032-1.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba, leo July 8 2016 ameamua kwenda hadi Temeke kumtembelea na kumjulia hali PC Shaban (F.9060) aliyejeruhiwa na majambazi wakati wa mapambano akiwa katika ulinzi wa Benki. Katika tukio hilo la ujambazi lilipelekea askari mmoja kupoteza maisha na kujeruhi wafanyakazi wa benki hiyo
IMG-20160708-WA0030.jpg

IMG-20160708-WA0031-1.jpg

Maoni yangu katika hili

Pongezi waziri Mwigulu kwa kuonyesha kuwa ujali watumishi wa wizara yako na vile vile sio mbaya kwa viongozi wengine kuiga mfano wako katika hili kwani linamfariji kwa kiasi kikubwa muhusika.
Mwigulu safi sana.CCM ina assets nyingi. Hongera Mwigulu for your bold decision in that matter. CCM is to stay in power for ever.
 
I hope ameona kitu. Watu hawa wanaoweka uhai wao rehani ni wakujali sana. Makazi, maisha ya familia zao etc
 
IMG-20160708-WA0032-1.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba, leo July 8 2016 ameamua kwenda hadi Temeke kumtembelea na kumjulia hali PC Shaban (F.9060) aliyejeruhiwa na majambazi wakati wa mapambano akiwa katika ulinzi wa Benki. Katika tukio hilo la ujambazi lilipelekea askari mmoja kupoteza maisha na kujeruhi wafanyakazi wa benki hiyo
IMG-20160708-WA0030.jpg

IMG-20160708-WA0031-1.jpg

Maoni yangu katika hili

Pongezi waziri Mwigulu kwa kuonyesha kuwa ujali watumishi wa wizara yako na vile vile sio mbaya kwa viongozi wengine kuiga mfano wako katika hili kwani linamfariji kwa kiasi kikubwa muhusika.
Yakimjua si yatarudi tena nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom