Hizi tenda zilitakiwa kupokelewa hata na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kwa niaba ya serikali! Halafu zingegawiwa kwa ndugu zetu katika imaan wakati wa mfungo mtukufu wa Ramadhan! Mambo yangekuwa murua kabisa.
Hakukuwa na sababu ya msingi kwa waziri kuacha kazi na kwenda kupokea hizo tende za msaada.
Chukua kikombe cha Maziwa halafu ndani yake weka tende, usiweke sukari iwe maziwa na tende tu. Maziwa hakikisha ya moto, fanya hivyo kila jioni baada ya kutoka kuruka miruko 100 ya kamba. Ukumbuke kuleta shukrani.
Sasa we mwana wa Mbonde tende unalima wapi???? sie tunawapelekea mchele na nyama. Wanakupa tuvitu tutamu na wewe utoe shekh!
Kingine ukumbuke tunanunua mafuta (Petrol/diesel/gas) kutoka kwao, kwa hiyo kama unavyotoa christmass gift kwa wateja wako