Waziri Muhongo ni waziri mtendaji, tazama video alivyombana mtendaji wa NDC

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Simfagirii lakini ngoja tumpe tu sifa zake

hapa chini ni video akimbana mtendaji wa NDC waziwazi

 
Usisahau na ile video ya khs vipimo vya mafuta pale Bandarini siku yenyewe
 
Simfagirii lakini ngoja tumpe tu sifa zake

hapa chini ni video akimbana mtendaji wa NDC waziwazi


Hiyo ni bila kupindisha maneno...haihitaji Uwe na tai ya yellow wala ya blue. Asante kwa taarifa mkuu.
 
Nikisema kuwa alikuwa anafanya maigizo kwa sababu alijua anarekodiwa ntakuwa nasema urongo!?
 
NDC haipo chini ya
Wizara ya madini bali wizara ya viwanda, hivyo jamaa anafokewa na foreigner sio bosi wake. Yale yale ya kumharibia Mama chuwa wa wakala wa vipimo
 
Back
Top Bottom