Ateue tena! Kuna nimemkuta pale UDOM anaitwa Ludovick Kinabo ni Profesa ambaye hata wazungu wanamhusudu lakini haendekezi uzembe na Makungu...ni kazi tu
Hii Wizara tangu kuanzishwa kwake aliiweza Waziri mmoja tu, marehemu Jackson Makweta, kwa wale waliokula chumvi ya kutosha kidogo wanaweza kukubaliana na mimi. Kwa sasa Wizara hii changamoto zake ni ngumu mno kuliko hata Wizara ya Fedha na Uchumi.