Waziri Mkuu haitaji kutegemea waliochini yake yeye nikutoa maagizo na wengine kutekeleza!!Waziri Mkuu anajitahidi sana isipokuwa tatizo lipo kwa wale wanaomzunguka na wale waliotarajia kumpa nguvu ili aweze kutekeleza majukumu yake vizuri. Waziri Mkuu kama Kiongozi hatendi majukumu pekee yake yake, yuko ndani ya mfumo wa utendaji kuanzia Mtendaji wa Kijiji hadi ngazi za juu kabisa na kuunganishwa na mfumo wa Kimataifa (Globalization). Kama mfumo huo wote hauko pamoja naye, atamkemea nani na ni nani atamsaidia kutekeleza? Hebu angalia Mawaziri Wakuu uliowataja ambao kwa nyakati fulani kweli walikuwa na nguvu za kuamua, kutenda na kusimamia, aidha angalia mfumo uliokuwepo wakati huo na angalia mwisho wa Mawaziri Wakuu hao waliishia wapi kwa maana hiyo naona baadhi ya viongozi wanaojitahidi kutetea maslahi ya Taifa, mfumo uliopo hauwapi nafasi ya kutenda majukumu yao kwa uhuru.
Nchi yangu haina waziri Mkuu!
Niwapi nitapata waziri Mkuu kama E.Moringe??
Wapi nitapata Naibu waziri Mkuu Kama A.Lyatonga??
Waziri mkuu umepwaya sisikii ukikemea kwa vitendo zaidi yakukemea kwa maneno bila kuweka vitendo!!
Waziri Mkuu umekataa Sahangingi nilitegemea waliochini yako watapanda Prado wapi bwana Hata Wakurugenzi wanapanda kama lako ulilolikataa!!!
Hapa nchi ilipo fikia ndipo E.Moringe alisema naliwe nabadrika siasa za hawa ni wenzetu akaziweka kando!!wafujaji wa mali yaumma wakafukuzwa!!
Je wewe unasubiri Nini??
Kama wewe nimtoto wamkulima Vaa viatu vya E.Moringe leo uikwamue hii nchi!!
hata mzee wa semina elekezi anatumia sana mgongo wa huu usemi sasa sjui kwa nini yeye yupo juu au anasimamia waliopo juu yake? kina obama na kina cameruni na kina sarkozyWaziri Mkuu anajitahidi sana isipokuwa tatizo lipo kwa wale wanaomzunguka na wale waliotarajia kumpa nguvu ili aweze kutekeleza majukumu yake vizuri. Waziri Mkuu kama Kiongozi hatendi majukumu pekee yake yake, yuko ndani ya mfumo wa utendaji kuanzia Mtendaji wa Kijiji hadi ngazi za juu kabisa na kuunganishwa na mfumo wa Kimataifa (Globalization). Kama mfumo huo wote hauko pamoja naye, atamkemea nani na ni nani atamsaidia kutekeleza? Hebu angalia Mawaziri Wakuu uliowataja ambao kwa nyakati fulani kweli walikuwa na nguvu za kuamua, kutenda na kusimamia, aidha angalia mfumo uliokuwepo wakati huo na angalia mwisho wa Mawaziri Wakuu hao waliishia wapi kwa maana hiyo naona baadhi ya viongozi wanaojitahidi kutetea maslahi ya Taifa, mfumo uliopo hauwapi nafasi ya kutenda majukumu yao kwa uhuru.