Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 26, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto amezitaka ofisi za umma kutatua kero za wananchi kwa wakati kwani wananchi hawana kimbilio jingine. Ametaka wananchi wanapoenda kupata huduma katika ofisi za umma kuhakikisha wameandika jina na shida iliyompeleka ili kuwepo na uwajibikaji.
