Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Botswana, Bw. Tshenolo Mabeo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama uliopo Gaborone (Botswana), Januari 17, 2016.
Majaliwa amemwakilisha Rais John Magufuli katika Mkutano wa SADC.