Waziri mkuu Majaliwa akiwa katika mkutano wa benki ya AFDB Zambia

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt Magufuli katika mkutano wa Maendeleo ya Benk ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia. Chini ni picha za Waziri Mkuu akiwa katika mkutano huo.

IMGS8981.jpg


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Zambia, Edgar Lungu katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 24, 2016.

IMGS9043.jpg


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos Agostino do Rosario katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 24, 2016.

IMGS9201.jpg


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 24, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Nigeria, Prof. Yemi Osinbojo, Rais wa Chad, Idriss Debyo, Rais wa Zambia, Edgar Lungu na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos Agostino do Rosario

IMGS9103.jpg


Rais wa Zambia, Edgar Lungu akifungua Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 24, 2016.Kushoto kwake ni Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa ambaye alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.

IMGS8954.jpg
IMGS8951-1024x682.jpg
IMGS8959.jpg


Wasanii wa Lusaka wakicheza ngoma ya asili ya Zambia katika mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi Zambia Mei 24, 2016. Tanzania iliwakilishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
 
Sijawahi kumsikia akiwa anaongea nje ya nchi!! Hii serikali ni serikali ya kupiga picha na kusambaza!! Maelezo mtajitungia wenyewe kama alivyofanya mtoa mada!! Hii serikali kosa ni nini?? Au kwa kuwa ni ya CWT???
 
f7630313c4d365f049b9dbd53cfeced5.jpg

Nje ya mada...Waziri Mkuu kusalimia kwa mkono mmoja wakati Rais ametoa mikono yote mawili. !
 
Mpaka boss ajue kuongea kiingerza fluently huyu jamaa atakuwa amepiga ziara za kwaniaba ya... zakutosha.
 
Naona kagame anakong'otea kwa mbali huku akijiuliza maswali meeeengi kichwani
 
Back
Top Bottom