Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Shida ni kuhamisha ile bahariKuna jengo linatumika,ila iliamuliwa ijengwe ikulu identical na magogoni,nadhani
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Shida ni kuhamisha ile bahariKuna jengo linatumika,ila iliamuliwa ijengwe ikulu identical na magogoni,nadhani
Hatimaye yatakuwa Magofu kama Yale ya MobutuWaziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.
Waziri mkuu amerithishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.
View attachment 1890900
Husuda zako dhidi ya pm zitakuletea magonjwa,tambua kuwa huyu ndo rais wako ajae
Bro najua hata wewe ukikamatishwa ile Ofisi,utawakomesha akina Jokate, Wema Sebenga, and other shes of the likeSio kidogo, kazi yake kuhonga tu
Wapi alipomlilia?Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.
Waziri mkuu amerithishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.
View attachment 1890900
Una uhakika na hilo?kumsingizia marehemu ni ustaarabu mpya huo.Hemaya ya mwendazake kubadili katiba ili kuishi milele ikulu,sema mipango ya mwanadamu sio mipango ya Mungu
Kazi IendeleeWaziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.
Waziri mkuu amerishishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.
View attachment 1890900