Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akagua ujenzi wa Ikulu Dodoma

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.

Waziri mkuu amerithishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.

View attachment 1890900
Hatimaye yatakuwa Magofu kama Yale ya Mobutu
Hakuna atakayekaa huko
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.

Waziri mkuu amerithishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.

View attachment 1890900
Wapi alipomlilia?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom