Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 261
- 199
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda.
Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika
Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika