Waziri Mkuu azindua chuo cha Veta Busekelo

Waziri Mkuu azindua chuo cha Veta Busekelo

budget

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
42
Reaction score
27
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya, Agosti 1, 2021. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na kulia ni Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete.



IMG-20210801-WA0022.jpg
IMG-20210801-WA0021.jpg
IMG-20210801-WA0023.jpg
IMG-20210801-WA0020.jpg
IMG-20210801-WA0021.jpg
 
Dah hongera yao
Kuna chuo cha Veta sumbawanga kilitakiwa kuanza kuchukua intake ya kwanza mwaka 2019 lkn mpaka sasa mambo hayaeleweki kwakweli
 
Inapendeza mkuu wafungue na kozi ya namna ya kuchakata mazao itapendeza zaidi kwani wilaya hii ni maarufu kwa kilimo hicho.
 
Uzinduzi huu ungefanyika Kwa kutumia lugha ya malkia, Kuna waziri mmoja angetoroka
 
Back
Top Bottom