Waziri Mkuu awataka Mawaziri na Naibu Mawaziri wajiepushe na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka

huu utawala bwana, uyu atafanya hili mwingine anakuja kulitengua yaani ni mwendo wa kupishana kauli na kuropoka ropoka,
mzee majaliwa kawagusa wote hapo
 
ambaye hatuweza kukuelewa hapa atakuwa bado yupo usingizini
 
Well said by PM. Ni muongozo wenye busara kwa sababu ahadi zinazotamkwa zisipotekelezeka zina mdiscredit mtoa ahadi kwa wananchi.
 
Amwambie huyo Jokofu.....sijui Jafo sijui nani....anaropoka tu....hajui kuna mambo ya ya sera na ki bajeti anaropoka tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…