ambaye hatuweza kukuelewa hapa atakuwa bado yupo usingiziniNilishasema humu ndani, Kassim Majaliwa ndiye aliyefaa kuwa Raisi wa nchi hii, na Magufuli kuwa Waziri Mkuu. Lakini kuwa na Majaliwa kama Waziri Mkuu na Magufuli kama Raisi ni sawa na pikipiki kuvuta lori. Inaweza, lakini ni tatizo.
Na ukweli ni kwamba hekima na busara za Majaliwa katika uongozi zinazimwa sana na Raisi Magufuli - Majaliwa kwa sasa hatendi kwa kutumia uwezo wake wa kiuongozi asilimia kwa asilimia 100% kwa sababu yuko chini ya kivuli cha Magufuli
Fact: Majaliwa is not exerting his full leadership potential because he is constrained by the President
The best next thing for Tanzania after the discovery of Tanzanite is to have Majaliwa as president of the country. And I am not talking of 2020 elections here. CCM take note.
Nadhani walimaanisha vyerahani 200. Kwa tafsiri yao, kiwanda ni kuanzia vyerahani 2.afadhali amewaambia. Maana nilisikia juzi juzi hapa kuwa kila MKUU WA MKOA AHAKIKISHE MWISHO WA MWAKA ANA VIWANDA 100