Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...Nimeishia kushangaa tu!!!! Hawa sio viongozi..Kweli serikali yetu unaweza kuiangamiza kwa cku moja
Tuchukulie mfano babu katumiwa na magaidi atege sumu..Inakuwaje hapo?
Dah..! no wonder maamuzi yanakuwa ya hovyohovyo kumbe wanaofanya maamuzi wote ni wagonjwa na wameoza.. cheki huyo dingi kulia kwa Kandoro..
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...
Ujue wanaandaa tena hadaaa kwa Watanzania wanataka tusahau kujadili katiba turudi tena SamungeBabu wa Loliondo almaarufu babu wa kikombe.. ameitaka serikali kuboresha njia na mazingira ya Samunge kujiandaa kwa mafuriko ya watu kutokana na miujiza iyakayoanza tena karibuni.
Babu aliyasema hayo mbele ya waziri mkuu alipomtembelea huko Samunge. Kabla ya waziri mkuu kuondoka walipata kikombe na mkewe na umati wa watu waliofika na msafara wa waziri mkuu.
Hoja Kikombe serikali ilipinga uponyaji wake....
je! Kulikoni???
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...
Huwii lewelelo!Usanii mwingine wa TISS na ccm unakuja. Hakuna tiba hapo.
Mrema alitumika kwa nafasi yake ya u-tiss akadai kapona kisukari mbona anazidi kuchoka tu kila kuukicha?? Aua anatumia carolite?? Aua laana ya usaliti??
Huyu babu ningekuwa presda ningempiga marufuku na kumfunga jela mara moja.