pinda ni kigeugeu mnno!!!!!!
Pinda katoa siri iliyopo nyuma ya job descriptions za wakuu wa wilaya na mikoa. Hayo ndio huwa maagizo wanayopewa baada ya kuzima microphone wakati wa semina elekezi. Kosa lake katuambia ukweli wakati boss wake alituficha
Basi tuamini tu kuwa tulidanganywa na jk. Na Tanzania ijue sasa ya kuwa watumishi wa umma waliopo na kwa kiasi kikubwa walioteuliwa na Rais wako kwa maslahi ya chama na si Taifa
Sijaona wanapopinga hayo ni mawazo yako umeamua kutumia uhuru wako wa kikatiba kuwakilisha mawazo yako hiyo ndio demokrasia.
ritz mambo yapo mengi mkanganyiko hebu nikupe na hii nani alie sema tz wako tayari kwa vita na malawi na leo jk kasema hakuna vita haiwezi tokea ......
au makufuli anataka kutekeleza sheria ya kuondoa watu waliojenga kwenye hifadhi ya road au mabango jk anakataa na pinda anaenda mpaka chato kwa malock na kusema hadharani kuwa watu waachwe utafikiri hawana ofice ...binafsi sina imani na ccm...daraja la kigamboni km 2 limechukuwa miaka 50 halijajengwa kenya walijenga nyali bridge miaka ya 70 miaka ya 90 wakajenga la kisasa kama km 4 hivi...uwanja waa songwe mbeya tka 2002 ni hadithi tuuuuuuu
Alianzia huko ndio maana anajichanganya, akiangalia huku anahitaji utukufu wa dunia, wakati huohuo bado anahitaji ufalme wa Mbinguni. Mkristo safi yuko tayari kufa kwa kutetea ukweli, lakini mwanasiasa safi huwa anabadilika kufuatana na mazingira ya wakati husika.Sasa ndugu, kwa kuwa umesema kuwa Pinda si mwanasiasa. Na kwa kuwa umesema kuwa mkristu safi hawezi kuwa mwanasiasa. Unamaanisha kuwa Pinda ni mkrisu safi?
ritz mambo yapo mengi mkanganyiko hebu nikupe na hii nani alie sema tz wako tayari kwa vita na malawi na leo jk kasema hakuna vita haiwezi tokea ......
au makufuli anataka kutekeleza sheria ya kuondoa watu waliojenga kwenye hifadhi ya road au mabango jk anakataa na pinda anaenda mpaka chato kwa malock na kusema hadharani kuwa watu waachwe utafikiri hawana ofice ...binafsi sina imani na ccm...daraja la kigamboni km 2 limechukuwa miaka 50 halijajengwa kenya walijenga nyali bridge miaka ya 70 miaka ya 90 wakajenga la kisasa kama km 4 hivi...uwanja waa songwe mbeya tka 2002 ni hadithi tuuuuuuu
TOWNSEND,
Kauli kama hizo mbona ni jambo la kawaida kwa wanasiasa wetu ngoja na mie nikukumbushe kidogo...mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari, alitangaza kuanzisha taifa lao la Kaskazini, Mbowe akaja akapinga, Dr Slaa, alisema ataakikisha nchi aitatawalika, Mbowe akapinga, vipi hapo.
Ni kweli hakuna coordination maana matamko yanayokinzana ndani ya ccm si haba
swali lingine linalomsumbua ni lile la peter msigwa wa iringa mjini chadema, kuwa kwanini serikali ya mapinduzi zanzibar iridhie kufungwa kwa mighahawa zanzibar, wakati wa mfungo mkuu wa ramadhani, wakati serikali haina dini:israel:?majibu aliyotoa ni kichefuchefu kuwa kuwaache wazanzibar wafanye hivyo sababu wao waislam ni wengi.hoja hapa haikuwa ni uwingi wao zanzibar, bali je serikali ina dini?jibu halikuwa uwingi bali haina dini.kutoa majibu ya kuacha wazanzibari wafanye hivyo ni ukigeugeu, ambao waislamu wanapohoji kuingizwa hoja ya dini wanahaki basi sababu ni wengi.