Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
568
Reaction score
395
IMG-20260917-WA0188.jpg

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.

IMG-20260917-WA0200.jpg
IMG-20260917-WA0192.jpg
IMG-20260917-WA0194.jpg
 
IMG-20260917-WA0188.jpg
IMG-20260917-WA0186.jpg
IMG-20260917-WA0184.jpg
IMG-20260917-WA0182.jpg
IMG-20260917-WA0180.jpg
IMG-20260917-WA0174.jpg
IMG-20260917-WA0176.jpg

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
 
Kila kitu kina mwisho...mbinu wanapalilia aendelee kubebwa hats huko CAF Na wanajaribu kupoanza makali ya adhabu au rungu LA CAF dhidi ya tukio la kumpiga kocha wa Gaborone united...Sasa ajue Hapo walipo hawatadumu...kunaviongozi washabiki wab Simba watakalia juu Na chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom