Waziri Mkuu akipokea viwanda

waziri mkuu huyu anajielewa sana na ni mtu ambaye hachanganyi siasa za kishamba kwe shughuli zake kila cku km wengine...pia hana nidhamu ya uwoga ya kujipendekeza ovyo wala c bendera hufuata upepo na mwsho kabisa hamuogopi BASHITE
 
Hii sasa dharau

Send via Quan dong fen from north Korea
 
Kumbe hata mimi mtu nisiyejulikana nina uwezo wa kutoa msaada wa viwanda(vyerehani) zaidi ya hivyo.....kama vipi waambieni waandae event kwenye hotel ya nyota tano niende nikamkabidhi,haina shida.
 
waniite ikulu na mimi nikakabidhi viwanda 20 vya charahani

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Ila misaada mingine ni dharau..yaani mtu anajipanga kwenda kumpa waziri mkuu cherehani 25???
Kabisa mkuuu, tena presentation yake ni ya madharau kwelikweli. Ilitakiwa hiyo cherehani iwekwe kwenye boksi lake ndio ikabidhiwe sio waziwazi namna hiyo. Washauri wa itifaki wamechemsha vibaya hapo!
 
Hivi cherehani moja mpya inaweza kuwa bei gani kwa sasa?
Cherehani kimoja laki mbili mpaka mbili hamsini (VAT included)

Sijajua utaratibu, sijui na hawa wanaotoa misaada kutoka nje ya mipaka, nao mzigo (msaada) wao wanalipia VAT....!!?

Ni aibu kweli, kwa nchi yenye utajiri kama T-zee (Shamba la Bibi)

Bora wangetupa msaada wa Madawati,tukapunguza (kama si kumaliza) tatizo la Wanafunzi kukaa chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…