Waziri Mkuu akipokea viwanda

One thing which we tend to forget....waziri mkuu anajitahidi sana kuhimiza kilimo cha mazao ya biashara. Umaskini hauwezi kuondoka kama hatutajikita katika kilimo chenye tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa.......
Asante ndugu "MuwekeDHAji"
Tumefikia lengo! [HASHTAG]#TanzaniaYaViwonder[/HASHTAG]
 
Na waziri anakenua kabisaa.
Kuna mda unaweza kutamani kuwatandika viboko. Hiyoo garama iliyotumika kuandaa hayoo makabiziano siajabu inazidi thaman ya izoo chereani 25.
True

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Mm nilivyosikiliza hiyo habari amepewa msaada ktk jimbo lake na c kama serikali ndio imepewa!sasa kwa sababu ya cheo ndio hivyo tenaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi cherehani moja mpya inaweza kuwa bei gani kwa sasa?
Cherehani mpya kabisa dukani inauzwa wastani wa pesa zisizozidi shilingi Laki mbili, na kama ukiagiza mwenyewe kutoka nje, mzigo usiopungua vyerehani 10, basi utainunua cherehani hiyo kwa laki moja hivi ikiwa tayari imefika hapa nchini.

Sasa kama Kuwait imetoa vyerehani 25, maana yake mzigo wote huo utakuwa umegharimu jumla ya shilingi MILIONI 5.
 
Hii Nchi unaweza usitamani kwenda nchi nyingine maana sio kwa vituko hivi tumepokea viwanda 25 tumempa waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…