Waziri Mkuu akagua eneo la ujenzi wa makazi ya askari magereza jijini Dar

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,011
2,000Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akisalimiana na Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kabla ya kuongea na Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016(wa kwanza kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb).

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akikagua Gwaride Maalum la heshima lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kabla ya kukagua eneo la ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akipokea Salaam ya heshima kutoka Gwaride Maalum la heshima lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kabla ya kukagua eneo la ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa maelezo mafupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim(hayupo pichani) namna Jeshi hilo lilivyojipanga katika kuhakikisha kuwa ujenzi wa nyumba hizo ambazo zinatarajiwa kujengwa katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam unakamilika ipasavyo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba fupi kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Baadhi ya Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia).

Meneja Ujenzi wa Mamlaka ya Majengo nchini – TBA, Arch. Humphrey Killo akitoa maelezo ya kitalaamu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua eneo la ujenzi wa nyumba hizo za makazi ya askari kama inavyoonekana katika picha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam​
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara gereza la Ukonga kufuatilia utejelezaji wa agizo la rais Magufuli kuhusu ujenzi wa nyumba za askari
Waziri mkuu ameridhishwa na ujenzi huo na kuwasifu Tba kwa umakini na uchapa kazi
 
Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,031
2,000
Serikali imewakatili Askari magereza pamoja na Askari polisi pamoja na kuondoa kodi katika vinywaji vyao wanasheherekea siku kuu hizi bila kupewa ile hela ya vinywaji. Poleni sana?!!
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,067
2,000
Nyumba za magereza..kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani au bajeti ya ikulu!
I'm just being curious.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,570
2,000
Naona ishu za kuchungana namna hii ndiyo watendaji wengi wanataka.
Maana ukiacha wajiongoze na kujisimamia wenyewe jiandae kishikwa na BP kwa madudu.
 
mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,846
2,000
Mzee wa Kiraracha naye hakualikwa au alibaki na wafungwa kusikiliza kero zao
Mradi mkubwa hivi Mzee wa Kiraracha hayupo akija u mind tutamlaumu Lyatonga?
 
Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,011
2,000
Naona ishu za kuchungana namna hii ndiyo watendaji wengi wanataka.
Maana ukiacha wajiongoze na kujisimamia wenyewe jiandae kishikwa na BP kwa madudu.
Umenena mkuu, watendaji wengi wanataka kusimamiwa kama watoto wadogo, hawezi kujisimamia wenyewe.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,765
2,000
Hii ndio kazi imemtoa dodoma kuja dar? Waziri wa Mambo ya Ndani atafanya nini sasa?? Mbona amekurupuka mapema hivi? Au ndio kutokuwa na JD? Kazi zote ziko tamisemi sasa yeye anatafuta angalau atokee kwa media....mjomba wake Faru John banaaa kazi kweli kweli!! Huyu tumpe tu team ya Taifa ya vijana akafundishe hana jipya!!! Under performance everWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akisalimiana na Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kabla ya kuongea na Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016(wa kwanza kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb).

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akikagua Gwaride Maalum la heshima lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kabla ya kukagua eneo la ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akipokea Salaam ya heshima kutoka Gwaride Maalum la heshima lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kabla ya kukagua eneo la ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa maelezo mafupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim(hayupo pichani) namna Jeshi hilo lilivyojipanga katika kuhakikisha kuwa ujenzi wa nyumba hizo ambazo zinatarajiwa kujengwa katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam unakamilika ipasavyo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba fupi kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Baadhi ya Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia).

Meneja Ujenzi wa Mamlaka ya Majengo nchini – TBA, Arch. Humphrey Killo akitoa maelezo ya kitalaamu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam Disemba 24, 2016.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua eneo la ujenzi wa nyumba hizo za makazi ya askari kama inavyoonekana katika picha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 320 za makazi ya askari katika eneo la Gereza Kuu Ukonga, Jiji la Dar es Salaam​
 
La Nuit

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
472
500
Kama umeweza kuona Uzi huu, bila shaka wewe huu mzima,
Leo nimeona uzio mkubwa wa mabati uliozungushwa katika eneo la magereza Ukonga. Nimefurahi kuona vile maana natambua ile ni ishara hasa ya ujenzi hapo, Sasa sijui wanaongeza gereza hapo? Mnaofahamu tujuzeni na sisi tujue ni project gani inaanza pale.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom