Haki itapatika na hakuna usanii wowote tuwe na imani vyombo vilivyo shiriki kuchunguza ni madhubuti na uoongozi wa FBI ni wakuaminika; Lakini at the mean timu TUENDELEE na shughuli zetu za kujenga Taifa.
Hapo nilipobold pananipa mashaka sana hususan uliposema hakuna usanii, ngoja nikuulize swali moja, tangu vuguvugu za milipuko ya mobomu, kuchomwa kwa majengo ya ibada na kuuwawa kwa baadhi ya viongozi wa dini, kuna mtu yeyote yule ambaye aliwahi kukamatwa na kutiwa hatiani kisha kuhukumiwa?
Nauunga mkono hoja yako ya kuendelea na shughuli za kujenga Taifa, ila niwakumbushe tu binafsi siamini na sintaamini huu uongozi kama uko makini mpaka nisikie wahusika halisi wamekamatwa na kuhukumiwa pasipo kificho au usanii wowote ule.
Na pia tunapoendelea na shughuli za kujenga taifa, tusibweteke, tufumbue macho kama wenzetu wa Kenya au Marekani. Raia yoyote ambaye hatumfahamu maeneo tunayoishi ni vyema kuwa naye makini, pengine na kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama (we have to play our part, hata kama hawatarespond on time) maana hatujui nani baina yetu anaweza kutushambulia. Ni vyema tukawa zaidi ya makini.
Naogopa kwenda kanisani....misikiti yenyewe iko salama
Haki itapatika na hakuna usanii wowote tuwe na imani vyombo vilivyo shiriki kuchunguza ni madhubuti na uoongozi wa FBI ni wakuaminika; Lakini at the mean timu TUENDELEE na shughuli zetu za kujenga Taifa.
Naogopa kwenda kanisani....misikiti yenyewe iko salama
Sijajua kwanini jambo linalowahusu waislamu kunakuwa na woga wa kuliweka wazi.
Sijajua kwanini jambo linalowahusu waislamu kunakuwa na woga wa kuliweka wazi.
akiwa na maana kuwa lililotokea arusha halihusiani na siasa? Sasa linahusiana na nini? Wamesema halihusiani na dini. Hebu hao fbi wamalize mapema kwani hawa ndugu wanatuchanganya vichwa
Naogopa kwenda kanisani....misikiti yenyewe iko salama
Naogopa kwenda kanisani....misikiti yenyewe iko salama
Nilipita jf na kuona wadau Jf mlivopata hasira kuhusu bunge leo kupigwa kapuni, sasa nampata Pinda Live TBC RADIO anafunguka na mwana wa mkulima kwa nia njema anasema epusha siasa ktk suala la Arusha
Watu kama nyie mnaofurahia majanga kwa wenzenu ni bora mkawa mnapigwa hata ban ya maisha tu humu .mwigulu type we.