Waziri Mkuu aagiza walimu wahamie shuleni

Hajazungumzia shule za namna hiyo amezungumzia shule aliyotembelea ambayo amepewa malalamiko na wananchi wa shule husika na ametembelea nyumba na kuona hazina tatizo.
Nyumba hizo zinafaa kuishi binadamu?Isije ikawa nyumba hazina Ubora halafu wanalalamika tu mbona hawajapiga picha tuzione hizo nyumba
 
Ndalichako kila uchwao anatoa maagizo mapya sasa kaingia na waziri mkuu
Kwani ni lazima kila siku mtoe jipya,mengine hayana maana
 
Nyumbaaaaaaaa? Zipi hukoooooo. Yakwake alisubiri ikarabatiwe ndipo ahamie Dodoma sasa za walimu zimeshakarabatiwa ?zimeshahakikiwa kuwa zafaa kwa ajili ya walimu wetu ????????
 
Back
Top Bottom