Waziri Mkuu aagiza walimu wahamie shuleni

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
876
1,000
Kukaa karibu Na kanisa au msikiti haimaanishi utaenda kuswali au kusali,tena unaweza kuwa mpagani zaidi.

Labda nyumba za karibu hazina miundombinu yote mizur, maji umeme Na muonekano wenyewe.
Labda pia kunachangoto zinhine zasingi ambazo hatuzifaaam.
Wanachi walivyo mambulula yanashangilia tu.
 

bridalmask

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
2,194
2,000
Awamu hii tuna kazi sana matamko ni mengi sana yasiyotimizika.
Ukiongea sana ina poteza maana halisi mbaya zaidi kila mtu ana tamko lake mara huyu hivi mara yule hivi....mambo mchanganyiko no common say and no common goal must fail for sure.
Passipo missions,plans,objectives na visions ni zero kila kitu ....anyway tukutane 2020 panapo majaliwa tumalize hasira zetu maana no goal la mkono no lubuvua hata kama ni mpya yupo no kila mandochi lazima ccm tuizike na kuifutilia mbali maana ni hatari kwa maisha ya Watz. toka uhuru hata mlo mmoja ni issue,ujinga uliopitiliza,umasikini uliokithiri,maradhi tena ya ajabu,ufisadi,maamuzi ya mwendokasi n.k. period!!!?
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,527
2,000
Kukaa karibu Na kanisa au msikiti haimaanishi utaenda kuswali au kusali,tena unaweza kuwa mpagani zaidi.

Labda nyumba za karibu hazina miundombinu yote mizur, maji umeme Na muonekano wenyewe.
Labda pia kunachangoto zinhine zasingi ambazo hatuzifaaam.
Wanachi walivyo mambulula yanashangilia tu.


Tulipendekeza mifuko ya jamii ijenge nyumba za watumishi karibu na maeneo ya kazi kama vile kwenye mashule ili wafanyakazi waweze kupanga nyumba hizo kwasababu nyumba wanazokaamijini zinatoza kodi kubwa kuliko hizo za NHC, kitu kinachoashiria kuwa fedha ya hayo mashirika ingerejea kwa wakati, lakini inaonekana hilo haliwezekani watumishi wanaishi kibabaishaji matokeo yake hata ufanisi kazini unakuwa duni
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,654
2,000
Alizungumzia sehemu moja. Hakutoa amri kwamba waalimu kote nchini wahamie mashuleni. Be fair in your criticism.

..hivi kuna mtu mwenye akili timamu asiyependa kuishi/kupanga karibu na anapofanyia kazi?

..kama waalimu wanaishi mbali na shule kuna sababu za msingi zilizowafanya kuchukua uamuzi huo.

..yeye kama waziri mkuu kutoa AMRI tu siyo njia sahihi ya kushughulikia kero zinazowasumbua waalimu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom