Waziri Membe na website ya Foreign

@Galt,
Nakubaliana na wewe kwamba, kwa kuwa Tanzania hatuna Ubalozi Libya, chanzo cha habari kwa Watanzania waishio Libya kuwaambia nini cha kufanya katika wakati huu mgumu ingekuwa ni tovuti ya serikali yao (namaanisha tovuti ya wizara ya mambo ya nje). Sasa tovuti inapokuwa haina taarifa muhimu na email hazijibiwi kwa wakati hadi Watanzania wanadandia lifti ya Kenya Airways ili kujiokoa na maswahibu ya Libya ni noma sana.
 
wanatia aibu hao!
 
Hivi waziri wetu keshatoa statement yoote kuhusu contigency plans za kuwanusuru raia wetu kule Libya?
 



Sijui utajibiwa nini unless wanakuvutia pumsi ili wakija kukujibu wafanye carpet bombing kabisaaa na statistics etc
 
Makes you wonder kazi ya Mr Shabani Mnubi pale Mofa ni nini
 
Watanzania tunasoma Tupate Vyeti,now especially Masters Degree,baada yaa hapo ni kupanda cheo.
hakuna kupima performance ,
hakuna deliverables
ni siasa kwa kwenda mbele sana tu,
hiyo update weabsite inabidi ifanyike nje ya mkoa,ili watu walipwe per Diem pia inawezekana kuna tenda imetangazwa kwa ajili ya web redesign and updating the website.
hiyo ndio bongo yetu.i remember a friend from USA who said ,
"the system in Tanzania is Broken down"
kwa sasa sistem yetu ambayo inahitaji a redesign , ime brekdown.................
Tusiwalaumu wakuu wa Vitengo vya hizi taasisi

 
Jamani tanzania utadhani wamiliki wake walishakufa...kuna tofauti gani ya tanzania ya leo na nchi ya mfalme juha??????
 
Sasa wamemchukua Waziri akafungue nyumba hizi ambazo to be honest sikuona haja ya waziri kwenda kuzifungua. kazi hii angeifanya katibu mkuu au some official from wizara ya ardhi







hawa watu wa DIASPORA na huu mradi wa nyumba Poa could have done better than this


so far nothing on the website,
 
interestingly, waziri Membe hakutaka kuwa muwazi on our polisi in Libya, na sikushangaa because we dont have any


so far spin doctor wake haja update website as we speak

tafadhali mbopo njoo ujibu hizi tuhuma
 
Mbopo a.k.a Mwambene naona watu wanakutafuta tena humu! Hawakuachi uendelee kupiga kampeni ya 2015! Yaani hadi kufika huko utakuwa umechoka.
 
The website is fair enough, kuna mambo madogo madogo tu ya kurekebisha, but is very informative and good looking. Ukilinganisha na website nyingi za serikali, jamaa anajitahidi.
 
Assa Mwambene once again ana mfelisha waziri wake

Issue ya Libya haijawa addressed kwenye website ya foreign...zaidi ya picha tuu

On the otherhand wana JF walibebea bango issue ya sheria zetu zinavyosema kuhusu Bendera ya Libya

kuna umuhim wa revamp the whole website na kuweka hizi docs na kuifanya iwe ya kisasa zaidi...issues kama warnings and travel updates ni muhim sana kwetu
 
Mpaka wakae vikao weeeee! Mara kuna msiba sehemu mara sikukuu mara wkend, ilhali dunia inasonga mbele.
 
web site nyingi za serikali yetu huwa zina habari na matukio ya zamani sijui wafanyakazi wa IT huwa wanafanya nini
 
Ila i hope mkuu huna chuki binafsi na huyo Assah, maana hii topic yako imemwandama sana jamaa.

wa tz tujifunze kuambiana ukweli bila kumung'unya maneno..... nadhani sir assah amempata na atazingatia, kutajwa jina sidhani kama ni attack, so nadhani msg imefika na itafanyiwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ