Waziri Makame Mbarawa anajisikiaje?

Enzi zile si mlikuwa mnapiga madongo kwamba Kalemani hafai kwakuwa ni sukuma Gang na ni poti kwa JPM,, bila kutafakari utendaji wake

Mama kasikiliza kilio chenu kaamua kumuondoa na kumleta asie poti, sasa mnaanza kulialia tena arudishwe

Majuzi nimekutana na jamaa yangu alikuwa hamkubali hata kidogo Magufuli, lakn kanambia wazi kuwa anakiri JPM aliimudu sana hii nchi

Nikamwambia hizo ndio sifa kuu za kuitwa NYUMBU
Mawazo ya mtu mmoja unayachukuliaje kwenye wingi.ata hivyo hii ni miaka 60 sasa bado nchi inapambania mambo yale yale aliyoyaacha mkoloni na mengine yameongezeka maradufu,sio kipindi cha Jpm wala cha huyu wa sasa.wote wale wale.
 
Profesa Makame Mbarawa ni mtu mwadilifu Sana.....

Ni mzalendo wa haja.....

Profesa ni aina ya VIONGOZI wanaoheshimu sana CHAIN OF COMMAND na kuwathamini WATENDAJI kwa kazi zao.....

Tatizo lililopo ni kuwa NCHI HII NI NGUMU SANA....MNO.....

Wengi wa watendaji hawapendi KUJISIMAMIA kutokana na UADILIFU WA MASHAKA.....

Ndio maana hayati JPM alitokea kuwa KIPENZI cha watanzania ijapokuwa UONGOZI WA KUSIMAMIANA si mzuri....ila si kwa wengi wetu watanzania......

Baadhi yetu hatwendi bila KUSUKUMANA Sasa inahitaji ROHO NGUMU MNO kuwaongoza watu aina hii ......

#Tuna Safari Ndefu Mno

#Siempre JMT
#Nchi Kwanza

Hapo kwenye chain of command kwa mtanzania lazima utafeli tu....mtanzania anataka Nyapara style yaani muda wote uko mgongoni kwake..
 
Profesa Makame Mbarawa ni mtu mwadilifu Sana.....

Ni mzalendo wa haja.....

Profesa ni aina ya VIONGOZI wanaoheshimu sana CHAIN OF COMMAND na kuwathamini WATENDAJI kwa kazi zao.....

Tatizo lililopo ni kuwa NCHI HII NI NGUMU SANA....MNO.....

Wengi wa watendaji hawapendi KUJISIMAMIA kutokana na UADILIFU WA MASHAKA.....

Ndio maana hayati JPM alitokea kuwa KIPENZI cha watanzania ijapokuwa UONGOZI WA KUSIMAMIANA si mzuri....ila si kwa wengi wetu watanzania......

Baadhi yetu hatwendi bila KUSUKUMANA Sasa inahitaji ROHO NGUMU MNO kuwaongoza watu aina hii ......

#Tuna Safari Ndefu Mno

#Siempre JMT
#Nchi Kwanza
Na hapa ndipo CCM ilikotufikisha.

Hiki chama kimechoka...TUNAHITAJI MABADILIKO SASA!!
 
Alikuwa ana outsmart utendaji wa jpm kuwa alioneawa. Mama anatabia za kuwarudisha wale walioshindwa sijui Kama wanakosekana watu wengine .January na sasa mbarawa
Tena wote wawili waliotupwa na JPM makamba na mbalawa,wote wame-fail mbaya,baada kurudishwa. Ndio utakapoona macho ya JPM yaonavyo mbali
 
Asipotumbua mnasema pole..akitumbua mnasema alkali..sasa afanyaje
 
Enzi zile si mlikuwa mnapiga madongo kwamba Kalemani hafai kwakuwa ni sukuma Gang na ni poti kwa JPM,, bila kutafakari utendaji wake

Mama kasikiliza kilio chenu kaamua kumuondoa na kumleta asie poti, sasa mnaanza kulialia tena arudishwe

Majuzi nimekutana na jamaa yangu alikuwa hamkubali hata kidogo Magufuli, lakn kanambia wazi kuwa anakiri JPM aliimudu sana hii nchi

Nikamwambia hizo ndio sifa kuu za kuitwa NYUMBU
Weka uchamapembeni kisha urudi Ku comment upya. Yaelekea wewe ni wale wale wa kina shee shee yaani waghoshi wa kaya.
 
Upigaji nchi hii hauwezi kuisha kwa maneno, bali kwa kuchukua hatua kali dhidi ya wahusika, kuwa na nia na mipango ya dhati ya kuutokomeza na kuacha unafiki (maana hauwezi ukapambana na upigaji JUST INCASE na wewe ni wale-wale).
 
Wadau umofia kwenu !

Leo nimemsikia mama Samia akionesha wasiwasi wake mkubwa juu ya utendaji na uadilifu wa huyu waziri wake Uchukuzi,akidai kuwa alimwamini ndo kisa cha kumrejesha kwenye hiyo wizara ya uchukuzi lakini yanayoendelea pale bandarini ni madudu.

Raisi ameenda mbali ya hapo kuwa akiona ameshindwa afike na amwambie kuwa dadangu naomb umtafute mtu mwingine nimeshindwa.

Hii ni kauli fikirishi sana.Kwa maoni yangu huyu profesa akashike chaki tu chuoni kuliko kama hivi unaingizwa kwenye system na punde si punde unatenguliwa, utenguzi ulianzia kwa mwenda zake but currently huyu mama kamrejesha, hivi hii nchi na ukubwa wote huu na uwingi wa wasomi hatuna watu professional na waadilifu na wachapakazi zaidi ya hawa failed professors.

Karibu wadau tumjadili huyu msomi ambaye ameshindwa kazi mapema mbele ya mama Samia !
Hapo kwenye uadilifu umeongeza chumvi mkuu.

Mbarawa ni smart sana wala hana makando kando, isipokuwa hawezi kufoka na kubwatuka au kutafutana hapo ndiyo naona tatizo lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom