Umezidisha kukopi na kupest hadi inatia kinyaaWaziri Makame Mbarawa akabidhiwa majina 15 ya wafanyakazi wa Bandari wasiojua kusoma na kuandika lakini wanafanya kazi katika idara kama wasimamizi.
Chanzo: Nipashe
Hawajui kuandika na kusoma lugha gani? Kiswahili au English? Maana hujafafanua, kwani kuna wengine hawajui kusoma na kuandika English, lakini kwenye Swahili wako poa.
Miaka ya nyuma kupata kazi bandarini au tbc ilikuwa lazima ushirikishe waganga wa jadi! Wasomi wengi nasikia walikuwa wanakimbia kufanya kazi katika taasisi hizo!Hahaha kimenuka! Kuna thread ililetwa hapa kitambo kuhusiana na hili. Kuna Watu wapo Bandari hawakumaliza shule wana kazi inayomfaa mtu mwenye elimu ya degree.
Kabisa anapaswa awe graduate au diploma asiyemakando kando,hivi wajua kama ajasoma wanamfanya punda kwa visenti vidogo vidogo vya mboga na anachia mzigo.Watu sio kwamba awajui wafanyalo,jiulize kwanini kitengo cha askari kiliondolewa wakawekwa walinzi binafsi?.Kama ukiwaza sana utajua ni kwanini watu wanatengeneza loop hole.Wazee hata makuli nao kiongozi wao lazima ajue kusoma na kuandika
Wanajua kilugha cha pale maeneo ya CHALINZE,kiswahili kidogo na kingereza maneno machache kama ,Yoo! Baby,I love you!WatsuppHawajui kuandika na kusoma lugha gani? Kiswahili au English? Maana hujafafanua, kwani kuna wengine hawajui kusoma na kuandika English, lakini kwenye Swahili wako poa.