voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Makamba! Muunge mkono Waziri Mwenzio Biteko na "Mkaa wa Mawe" badala ya Rostam na "Taifa Gas"
Hapo chini ni taarifa ya serikali!
11,Aug,2022.
"Dkt. Biteko amesema STAMICO imeagiza mitambo mipya 11 kwa ajili ya uchorongaji na mitambo 4 kwa ajili ya kuzalisha makaa ya mawe ili kuongeza uzalishaji wa makaa hayo na kukidhi mahitaji ya watanzania ambapo mitambo hiyo itasimikwa jijini Dodoma, Songwe, Pwani na Kanda ya Ziwa."
"Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt. Venance Mwasse amesema, Shirika hilo lina mkakati wa kuhakikisha kunakuwa na uzalishaji wa kutosha ili kukidhi mahitaji ya watanzania ambapo limeagiza mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha tani 20 za makaa hayo kwa saa.'
"Dkt. Mwasse amesema, mradi huo unatarajia kuwanufaisha watanzania kwa kutoa ajira na utapunguza janga la ukataji miti kwa ajili ya mkaa hivyo kuchangia kutunza mazingira'.
"Dkt. Mwasse amesema STAMICO imeanza kusambaza nishati hiyo ambayo ni nafuu zaidi na rafiki kwa mazingira baada ya kuidhinishwa na Shirika la Viwango la Taifa (TBS) tayari kwa matumizi baada ya uzalishaji wa majaribio kufanyika kwa ufanisi."
Prince Makamba unatupeleka Shimoni.
Alamsikhi!