Waziri Mahiga arudisha fomu ya maadili fasta

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
1.jpg

Baada ya waziri mkuu kutaja majina ya mawaziri wanne na naibu waziri mmoja ambao hawajarudhisha fomu za Sekretariati ya maadili ya umma na kutakiwa wawe wamerejesha fomu hizo kabla ya saa kumi na mbili jioni ijumaa ya leo mpaka sasa ni waziri mmoja aliyetii agizo hilo

Aliyerudisha fomu hizo ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga ambapo amekiri kuwa ni kweli alikuwa hajarudisha fomu hizo kutokana na majukumu ya kazi yaliyokuwa yamembana

Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga yeye ameshangaa jina lake kutajwa wakati tayari ameshazirudisha fomu hizo. Amesema hivi sasa ameelekea ofisi za Sektretariati ya maadili kuwasilisha malalamiko yake

Naibu Waziri wa Nchi (OMR – Mazingira), Bw. Luhaga Mpina yeye amesema kuwa atawahisha kurudisha fomu hizo kabla ya saa kumi na mbili jioni.
 
Niliupongeza utendaji wa Mahiga ila ameshaonyesha wasiwasi kwa jinsi asivyokuwa organised.
 
1.jpg

Baada ya waziri mkuu kutaja majina ya mawaziri wanne na naibu waziri mmoja ambao hawajarudhisha fomu za Sekretariati ya maadili ya umma na kutakiwa wawe wamerejesha fomu hizo kabla ya saa kumi na mbili jioni ijumaa ya leo mpaka sasa ni waziri mmoja aliyetii agizo hilo

Aliyerudisha fomu hizo ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga ambapo amekiri kuwa ni kweli alikuwa hajarudisha fomu hizo kutokana na majukumu ya kazi yaliyokuwa yamembana

Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga yeye ameshangaa jina lake kutajwa wakati tayari ameshazirudisha fomu hizo. Amesema hivi sasa ameelekea ofisi za Sektretariati ya maadili kuwasilisha malalamiko yake

Naibu Waziri wa Nchi (OMR – Mazingira), Bw. Luhaga Mpina yeye amesema kuwa atawahisha kurudisha fomu hizo kabla ya saa kumi na mbili jioni.
Ni muhimu sasa tume ya maadili ipewe raslimali watu n fedha za kutosha ili ifanye kazi muhimu ya kuhakiki na kuthibitisha yaliyotajwa na waheshimiwa hawa; baadhi yao tuna mashaka nao "WAMEFIKICHA FIKICHA"; kwani huko watokako; mmmmhhhh! Tinkumanya!
 
Mahiga amepunguza heshima yake kidogo, maana sikutegemea mzoefu na mkuu wa ujasusi wa enzi za nyerere na wakati wa vita ya kumtoa nduli IDD amini Dada naye mpaka aamrishwe ndiyo atekeleze, hapo ameonyesha mapungufu
 
Makamba yeye anadai mpaka zibaki dakika tano,huyu namhurumia ikitokea jam barabarani inakula kwake
 
Makamba acha ufedhuli wako rudisha fomu ndani ya mda mwafaka mtoto msumbufu sana uyu makamba
 
Mahiga amepunguza heshima yake kidogo, maana sikutegemea mzoefu na mkuu wa ujasusi wa enzi za nyerere na wakati wa vita ya kumtoa nduli IDD amini Dada naye mpaka aamrishwe ndiyo atekeleze, hapo ameonyesha mapungufu

Hizo Form za maadili zina umuhimu gani? Nani kishawahi kuchukuliwa hatua kwa kudanganya? Ina maana hakuna aliewahi kudanganya tangu mfumo huu uanzishwe?
Akina Chenge nao si walijaza form za maadili akiwa kama Mwanasheria Mkuu wa serikali, akiwa Waziri wa Miundombinu na baadae Mbunge wa Bariadi kitu gani hao Wahuni wa Tume ya "MADILI" wameshawahi kukifanya ambacho ni remarkable? Asilimia 80 ya Magorofa yanayoota mjini wamiliki wake wamejaza form za "MADILI".
 
Mahiga amepunguza heshima yake kidogo, maana sikutegemea mzoefu na mkuu wa ujasusi wa enzi za nyerere na wakati wa vita ya kumtoa nduli IDD amini Dada naye mpaka aamrishwe ndiyo atekeleze, hapo ameonyesha mapungufu

Tumpe benefit of doubt! Ni waziri aliyelazimika kusafirisafiri sana kutokana na hatua ya JPM kutosafiri nje! Katekeleza tusubiri uhakiki!
 
Back
Top Bottom