Waziri Lukuvi Awavaa Tra

Waziri Lukuvi Awavaa Tra

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,556
Wakuu Atimae Mkatisha Kodi Mkuu TRA nae anadaiwa Kodi na WaKatisha Kodi Wenzake
 
Wizara Ya Ardhi Imetoa Orodha Mpya Ya Taasisi Umma N Taasisi Binafsi Zinazodaiwa Kodi, Wamo TRa(Wakatisha Kodi Maarufu) wamo BOT, Wamo Dawasa, Wamo St. Augustine, Mzumbe University nk
Hadithia stori nzima basi mkuu
 
Awabane walipe!
Syo wao wanawadai wenzao tu
Ikiwezekana akawafungie ofisi zao mpk walipe

Ova
 
Akitaja tuu wanaodaiwa kodi ya ardhi ambayo ipo kwenye mafaili yake basi anafaa kuwa Rais aisee...
 
Inapendeza...

Though sijui sheria inasemaje kuhusu hizo taasisi kua na misamaha ya kodi...

Kama vipi ofisi zao zipigwe kufuli mpaka watakapo clear...

Muosha huoshwa...

Cc: mahondaw
 
Tatizo kila taasisi Ina kusanya aina yake ya kodi (mapato) sasa ukikutwa na tanesco utaelewa, ukikutwa na dawasa sijui dawasco nao hajalishi ni hospital, ukikutwa na kanisa watataka zaka nk... Maliasili nao watataka chao... Tpa nao piia

Tuta elewana tu taratibu...
 
Unamaanisha awamu ijayo tuwe chini ya utawala waabuduo shetani aitwae Alah au hubal...good idea let's wait
Sio ivo mkuu embu jaribu kutasmini tawala za wakristo tz huwa tunakuwa na maisha magumu kwel.

Ona mwinyi na Kikwete walivyotufanya tuishi kwa raha.
 
Back
Top Bottom