The doctrine of ministerial collectivity hairuhusiwi aisee basi mnara wa babeli unashuka...
Wadau, hivi kanuni zinaruhusu kwa waziri kumhoji mwenzake? Leo waziri wa naibu viwanda na Biashara kasimama na kumuuliza Waziri wa ujenzi juu ya mpango wa ujenzi wa barabara.
Cha ajabu Magufuli kasema itajengwa wakati haijapangiwa fedha.
Babeli hyo, wamechanganyiwa Lugha
Sijarekodi, lakini naitafuta kwa rejea yetu. Lakini unalionaje? (whether limetokea au hallijatokea)
wadau, hivi kanuni zinaruhusu kwa waziri kumhoji mwenzake? Leo waziri wa naibu viwanda na biashara kasimama na kumuuliza waziri wa ujenzi juu ya mpango wa ujenzi wa barabara.
Cha ajabu magufuli kasema itajengwa wakati haijapangiwa fedha.