Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,744 Feb 23, 2009 #21 Huyu WK ameshaona kunakoelekewa ni kugumu na kwa vile anajijua alipotokea ndio imebidi aanze kushuka ngazi na mapema.
Huyu WK ameshaona kunakoelekewa ni kugumu na kwa vile anajijua alipotokea ndio imebidi aanze kushuka ngazi na mapema.
E Engineer Mohamed JF-Expert Member Jul 27, 2007 451 9 Feb 23, 2009 #22 Mwiba said: Huyu WK ameshaona kunakoelekewa ni kugumu na kwa vile anajijua alipotokea ndio imebidi aanze kushuka ngazi na mapema. Click to expand... mwiba kwa nn ajishushe hadhi?akimaliza muda wake huduma muhimu zote bure mpaka kufa kwake.mie naona anajisumbua tu,atulie tu kama wenzake.
Mwiba said: Huyu WK ameshaona kunakoelekewa ni kugumu na kwa vile anajijua alipotokea ndio imebidi aanze kushuka ngazi na mapema. Click to expand... mwiba kwa nn ajishushe hadhi?akimaliza muda wake huduma muhimu zote bure mpaka kufa kwake.mie naona anajisumbua tu,atulie tu kama wenzake.
Lole Gwakisa JF-Expert Member Nov 5, 2008 4,728 2,259 Feb 23, 2009 #23 Engineer Mohamed said: mwiba kwa nn ajishushe hadhi?akimaliza muda wake huduma muhimu zote bure mpaka kufa kwake.mie naona anajisumbua tu,atulie tu kama wenzake. Click to expand... Msimuonee WK, ni waziri kijana ambaye hajaonyesha kiburi chochote katika siasa.He is un assuming and anachukia controversies.
Engineer Mohamed said: mwiba kwa nn ajishushe hadhi?akimaliza muda wake huduma muhimu zote bure mpaka kufa kwake.mie naona anajisumbua tu,atulie tu kama wenzake. Click to expand... Msimuonee WK, ni waziri kijana ambaye hajaonyesha kiburi chochote katika siasa.He is un assuming and anachukia controversies.
Kibunango Platinum Member Aug 29, 2006 8,421 2,271 Feb 24, 2009 Thread starter #24 Lole Gwakisa said: Msimuonee WK, ni waziri kijana ambaye hajaonyesha kiburi chochote katika siasa.He is un assuming and anachukia controversies. Click to expand... Na asijaribu kutafuta umaarufu kupitia Baraza la Manispaa, ana mengi ya kufanya katika jimbo lake kwanza...
Lole Gwakisa said: Msimuonee WK, ni waziri kijana ambaye hajaonyesha kiburi chochote katika siasa.He is un assuming and anachukia controversies. Click to expand... Na asijaribu kutafuta umaarufu kupitia Baraza la Manispaa, ana mengi ya kufanya katika jimbo lake kwanza...
Nkamu JF-Expert Member Dec 14, 2007 223 84 Feb 24, 2009 #25 Jamani igeni mfano wa Nahodha kufanya usafi! Alichofanya WK sio kibaya, anaonesha njia. Ni juu yetu kumfuata!
Jamani igeni mfano wa Nahodha kufanya usafi! Alichofanya WK sio kibaya, anaonesha njia. Ni juu yetu kumfuata!
Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,744 Feb 24, 2009 #26 Hata Nyerere alikuwa na shamba Geza ulole na akilima mwenyewe ndio sababu ya kusituka kiuno gonjwa ambalo ndilo lililommaliza uhai wake.
Hata Nyerere alikuwa na shamba Geza ulole na akilima mwenyewe ndio sababu ya kusituka kiuno gonjwa ambalo ndilo lililommaliza uhai wake.