Waziri Kiongozi kaamua kuwa mfagiaji...

Huyu WK ameshaona kunakoelekewa ni kugumu na kwa vile anajijua alipotokea ndio imebidi aanze kushuka ngazi na mapema.
 
mwiba

kwa nn ajishushe hadhi?akimaliza muda wake huduma muhimu zote bure mpaka kufa kwake.mie naona anajisumbua tu,atulie tu kama wenzake.
 
Msimuonee WK, ni waziri kijana ambaye hajaonyesha kiburi chochote katika siasa.He is un assuming and anachukia controversies.
 
Na asijaribu kutafuta umaarufu kupitia Baraza la Manispaa, ana mengi ya kufanya katika jimbo lake kwanza...
 
Jamani igeni mfano wa Nahodha kufanya usafi!

Alichofanya WK sio kibaya, anaonesha njia. Ni juu yetu kumfuata!
 
Hata Nyerere alikuwa na shamba Geza ulole na akilima mwenyewe ndio sababu ya kusituka kiuno gonjwa ambalo ndilo lililommaliza uhai wake.
 
Back
Top Bottom