Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji

Pamoja na kuwa ni msomi mzuri tu, bado anaamini haya mambo? Kwann ameyafanya baada ya ile ajali?
 
Lowasa ndio mbobezi wa haya mambo, tena yeye alikuwa anausaka urais.

1541003826800.png
 
Hivi hebu tusaidiane?
nini tofauti kati ya Uchawi na matambiko ya jadi?kipi kati ya hayo mawili hufanyika kwa kificho,na kipi hufanyika kwa uwazi?
 
By the way tuache unafki, hii ndio dini yetu toka enzi na enzi, kwani hizo dini za watesi wenu zina miaka mingapi toka ziingie huku mashinani,, mnajifanya wasomi halafu usoni mnakumbatia dini za wakoloni, lakini mkiwa wenyewe hii mnatia ulozi ndio kazi yenu, wacheni unafiki asee
 
Hivi mkuu umeelewa nilichokiongea au umekuja tu mbio baada ya kuitwa na nduguyo na kuja kuongea mambo yasiyohusika kabisa na post yangu? Unaweza fikiri kwamba u mwelewa sana wa mambo lakini ukosefu wa umakini ukakufanya uonekane empty kabisa. Huyo chachu ombara kakupotosha sana
Okay...
 
Heri yule anaeamini dini yake ya asili kwa maana ufalme upo mikononi mwake na ole wake anaeamini dini za kizungu kwani hajui afanyalo . Tambiko ni asili yetu , hongera waziri .
 
Back
Top Bottom