Kwa propaganda kama hizi, walianza kupandikiza hasira na chuki kwa madaktari, sasa wamekuja kwa walimu na wanafunzi, wanaendelea tena kwa wafanyakazi wote kupitia mifuko ya hifadhi ya kijamii (SSRA). Watakapowafikia wakulima basi ujue nchi haita tawalika tena.
Hiv walim wamekosa nn?mbna hawasikilizw?hii nch ni migom mwanz mwsho mpaka hak ionekane,walimu endeleeni kugomaaaaaa!
inawezekana ni mcha mungu sana anaogopa kusema uongo ni dhmbi pia anaogopa kusema ukweli ataharibu kazi yake hivyo anajikanyaga tu cha kusemaKwa kweli jamaa nilimuona jana kwenye press conference, naona kama ana tatizo la kuongea kwenye public..alishindwa kuongea kabisa.. yaani kama kuna kitu kinamzuia kuongea sawa sawa.
Hii wizara sio saizi yake.
Si ndo maana imeamua kutumia pesa za wafanyakazi kwenye social security funds na kuzuia fao la kujiondoa eti mpaka ufikishe miaka 55.kaka hapo kweli mie huwa unaingia tarehe 26 net,bila kuchelewa lakin hapa cjajua kwanin wamenicheleweshea mpaka tarehe hii. Serikali imefulia jaman. Hakika jaman
Kama kuna waziri incompetent kabisa ni Kawambwa, lakini ni unajua ni wa kwetu Bagamoyo?
Hii wizara sio saizi yake.
inawezekana ni mcha mungu sana anaogopa kusema uongo ni dhmbi pia anaogopa kusema ukweli ataharibu kazi yake hivyo anajikanyaga tu cha kusema
inawezekana ni mcha mungu sana anaogopa kusema uongo ni dhmbi pia anaogopa kusema ukweli ataharibu kazi yake hivyo anajikanyaga tu cha kusema
Hiv walim wamekosa nn?mbna hawasikilizw?hii nch ni migom mwanz mwsho mpaka hak ionekane,walimu endeleeni kugomaaaaaa!
nimeelewa kinachomsumbua jamaa si mwanasiasa, sasa ukishakuwa engineer na kudanganya danganya mbali mbali... ndio tatizo. Yaani si muongeaji kama akina Shibuda.
sasa afanyanje wakuuKusema kweli ni mtu wa watu, hana makuu na hajui kudanganya hivyo anapewa peach ya kusema ndo maana anababaika.
Mwanakwetu uongo, siasa na uongozi waachie wenyewe. wewe ni mtu safi tafuta chuo ufundishe! good luck.
sasa afanyanje wakuu