Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,986
Mheshimiwa Kangi Lugola wewe ni mtu mzima kiumri na mtu mkubwa sana kimadaraka katika nchi hii. ( naibu waziri) . Kitendo chako ulichofanya bungeni cha kuulizwa swali na mbunge tena swali sensitive linalohusu climate change na badala ya kujibu swali wewe unaleta utani wa kuingiza mambo ya HAJI MANARA NI UTOTO NA UPOTEZAJI MUDA wa hali ya juu sana.
Tunajua mmekataza bunge live ili mkandamize haki zetu za kidemokrasia lakini tunajua unyeti wa mahali hapo ulipo. Kwanini uache kujibu swali la mbunge na badala yake unaingiza mambo ya Simba na Yanga?
Jitathimini mkuu