dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,126
- 49,384
Yes! Hata Johannesburg ilikuwa kakijiji fulani ka kimaskini tu kabla machimbo ya dhahabu hayakageuza kuwa jiji kubwa duniani.Kudadadeki toka pori hadi jiji

Achilia upendeleo wa waziwazi, it is the worst precedent ever set by the High Office without fear of God.This doesn’t look good at all!
Mkuu kwa utawala huu lolote linawezekana kwa 100% and no one can reasonIli eneo liwe Jiji, ni lazima eneo husika liwe ni makao makuu ya mkoa.
Chato siyo makao makuu ya mkoa, kwa hiyo haiwezi kuwa Jiji.
Geita ndiyo makao makuu ya mkoa, na ndiyo inaweza kuwa manispaa, hatimaye Jiji.
Chato inaweza kufikia jadhi ya manispaa tu, na haiwezi kuwa Jiji.
Someni sheria!
Mwacheni afanye atakavyo. Nani amethubutu kujaribu kuzuia hayo anayofanya? Sembuse kuachia utamu!Nah
Mimi hilo la kumaliza muda wake na kuondoka sina kabisa wasiwasi nalo.
Pamoja na kwamba kwa ujumla wetu tuko makondoo, sidhani kama, kama taifa tutamkubalia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Umeme wa maji ya mto Rufiji? Au nimesoma vibaya?Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard kalemani amewataka wawekezaji wa nje na ndani kwenda kuwekeza katika wilaya ya Chato mkoani Geita akisema inazo fursa mbalimbali kwani baada miaka kadhaa wilaya hiyo itakuwa miongoni kwa majiji makubwa nchini humo.
Dk Kalemani ambaye pia ni Mbunge wa Chato (CCM) ameyasema hayo leo Julai 9, 2019 wilayani Chato katika uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi- Chato akisema wilaya hiyo inavyo vivutio vya kitalii na miundombinu kama uwanja wa ndege wa kimataifa.
Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye yuko mapumzikoni wilayani humo ndiyo anayezindua hifadhi hiyo mpya.
“La mwisho niwakaribishe tena wananchi wote wa jirani, wabunge, wa mkoa wa Geita, waheshimiwa, wakurugenzi, wenyeviti wa halmashauri, mtakapoondoka hapa mpeleke salamu kwa Watanzania wote kwamba sasa Chato inawekezeka,” amesema Dk Kalemani.
“Tunazo baraza nzuri, tuna uwanja wa ndege mkubwa tena wa Kimataifa, hivi karibuni tunajenga uwanja wa mpira, Chato stadium ambao utatumika kuwekeza na kuvutia watalii na hasa wa nje ya nchi,” amesema
Amesema wilaya hiyo pia imepakana na ziwa Victoria na inachukua eneo kubwa na inayo madini.
“Kubwa zaidi hivi karibuni mheshimiwa Rais umezindua umeme mkubwa wa maji wa Rufiji. Kwa hiyo umeme utakuwa wa uhakika maeneo ya nchi yetu na hapa Chato,” amesema
“Kwa hiyo nichukue nafasi hii kuwaambia wawekezaji waje kuwekeza, ili Chato nayo baada ya miaka kadhaa itamkike kati ya majiji makubwa hapa nchini,” alisema Dk Kalemani.
Aliendelea kuwakaribisha wawekezaji, akisema wilaya hiyo ina uhaba wa hoteli.
“Naomba wawekezaji wakubwa wawekeze kwenye mahoteli makubwa. Tuna changamoto ya hoteli. Mahoteli makubwa kama Ma Kilimanjaro hotel, ma Seven Seven,” alisema.
Awali, Waziri Kalemani alimwomba Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kusogeza mpaka wa hifadhi hiyo ili kuwe na mpaka mkubwa ili wananchi wailinde.
Ameliomba Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoa elimu kwa wananchi ili wasidhurike na wanyama wa hifadhi hiyo.
Dk Kalemani pia ametumia fursa hiyo kumweleza Rais Magufuli kuhusu kero za wakulima wa pamba akisema wanasumbuliwa na wanunuzi wa zao hilo.
Pia alisema unapomuona mfalme unaongea vyooteWaziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard kalemani amewataka wawekezaji wa nje na ndani kwenda kuwekeza katika wilaya ya Chato mkoani Geita akisema inazo fursa mbalimbali kwani baada miaka kadhaa wilaya hiyo itakuwa miongoni kwa majiji makubwa nchini humo.
Dk Kalemani ambaye pia ni Mbunge wa Chato (CCM) ameyasema hayo leo Julai 9, 2019 wilayani Chato katika uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi- Chato akisema wilaya hiyo inavyo vivutio vya kitalii na miundombinu kama uwanja wa ndege wa kimataifa.
Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye yuko mapumzikoni wilayani humo ndiyo anayezindua hifadhi hiyo mpya.
“La mwisho niwakaribishe tena wananchi wote wa jirani, wabunge, wa mkoa wa Geita, waheshimiwa, wakurugenzi, wenyeviti wa halmashauri, mtakapoondoka hapa mpeleke salamu kwa Watanzania wote kwamba sasa Chato inawekezeka,” amesema Dk Kalemani.
“Tunazo baraza nzuri, tuna uwanja wa ndege mkubwa tena wa Kimataifa, hivi karibuni tunajenga uwanja wa mpira, Chato stadium ambao utatumika kuwekeza na kuvutia watalii na hasa wa nje ya nchi,” amesema
Amesema wilaya hiyo pia imepakana na ziwa Victoria na inachukua eneo kubwa na inayo madini.
“Kubwa zaidi hivi karibuni mheshimiwa Rais umezindua umeme mkubwa wa maji wa Rufiji. Kwa hiyo umeme utakuwa wa uhakika maeneo ya nchi yetu na hapa Chato,” amesema
“Kwa hiyo nichukue nafasi hii kuwaambia wawekezaji waje kuwekeza, ili Chato nayo baada ya miaka kadhaa itamkike kati ya majiji makubwa hapa nchini,” alisema Dk Kalemani.
Aliendelea kuwakaribisha wawekezaji, akisema wilaya hiyo ina uhaba wa hoteli.
“Naomba wawekezaji wakubwa wawekeze kwenye mahoteli makubwa. Tuna changamoto ya hoteli. Mahoteli makubwa kama Ma Kilimanjaro hotel, ma Seven Seven,” alisema.
Awali, Waziri Kalemani alimwomba Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kusogeza mpaka wa hifadhi hiyo ili kuwe na mpaka mkubwa ili wananchi wailinde.
Ameliomba Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoa elimu kwa wananchi ili wasidhurike na wanyama wa hifadhi hiyo.
Dk Kalemani pia ametumia fursa hiyo kumweleza Rais Magufuli kuhusu kero za wakulima wa pamba akisema wanasumbuliwa na wanunuzi wa zao hilo.
Waliona mbali kwamba kutakuwa na hifadhi ya Taifa, kutakuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa na sasa uwanja huo mkubwa wa kisasa ukikamilika bila shaka mabenki yao yatakuwa yanafurika wateja.Wameweka bank..wateja kwa siku wanaoingia hawazidi idadi ya wfanyakazi.
Ndio tutakavyo, Hospitali kubwa ya rufaa na madaktari na manesi wawe wengi kuliko wagonjwa. Mahoteli makubwa wafanyakazi wengi kuliko wagonjwa na polisi wawe wengi kuliko wahalifu ili amani iwe ya uhakika.Wameweka bank..wateja kwa siku wanaoingia hawazidi idadi ya wfanyakazi.
Sintoshangaa siku nikukutana na mnyama yoyote akanipa salamu, maana wanaenda kupewa elimu ya kuishi na sisi na moja ya namna tunavyoishi ni kusalimiana hata kama hatufahamiani.View attachment 1150191Ni Bongo tu wanapatikana hawa watu 🤣🤣
Mchaga hawezi kuwa na tako hilo
Siku moja kijana fulani alifanya kosa. Nikamweleza kuwa sio vizuri. Nikaeleza kuwa muungwana hafanyi hivi bali hufanya haya na haya. Alinikata kauli kwa swali: nani kakwambia mimi muungwana? Wasome sheria ipi? Hawahitaji hizo sheria zako kufanya mambo yao. Kipi huko kinatendeka au kujengwa kwa sheria? Sheria zipo tena nzuri tu kwa wafuata sheria. Uhalifu ni uvunjifu wa sheria. Mhalifu huvunja sheria anazojua vizuri sana. Wasikilize wakiwa mahakamani. Kibatala wanamtoa jasho. Kalemani haitaji kusoma sheria. Udaktari wake wa falsafa unatosha kupata hizo habari kama anazihitaji. Hotuba yake inaonyesha sheria hazina nafasi. Hakuna PhD holder anaweza kuongea maneno kama yale. Je, kama ameweza kuyaongea Kalemani? Automatically atakuwa phd (pombe hadaa dunia) holder!Ili eneo liwe Jiji, ni lazima eneo husika liwe ni makao makuu ya mkoa.
Chato siyo makao makuu ya mkoa, kwa hiyo haiwezi kuwa Jiji.
Geita ndiyo makao makuu ya mkoa, na ndiyo inaweza kuwa manispaa, hatimaye Jiji.
Chato inaweza kufikia jadhi ya manispaa tu, na haiwezi kuwa Jiji.
Someni sheria!
Nah
Mimi hilo la kumaliza muda wake na kuondoka sina kabisa wasiwasi nalo.
Pamoja na kwamba kwa ujumla wetu tuko makondoo, sidhani kama, kama taifa tutamkubalia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Tchato is the birth place of his highness.If it was not for Tchato we could have never had him.This doesn’t look good at all!
Dreams are dreams, reality is reality. But sometimes big ideas start with dreamsWaziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard kalemani amewataka wawekezaji wa nje na ndani kwenda kuwekeza katika wilaya ya Chato mkoani Geita akisema inazo fursa mbalimbali kwani baada miaka kadhaa wilaya hiyo itakuwa miongoni kwa majiji makubwa nchini humo.
Dk Kalemani ambaye pia ni Mbunge wa Chato (CCM) ameyasema hayo leo Julai 9, 2019 wilayani Chato katika uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi- Chato akisema wilaya hiyo inavyo vivutio vya kitalii na miundombinu kama uwanja wa ndege wa kimataifa.
Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye yuko mapumzikoni wilayani humo ndiyo anayezindua hifadhi hiyo mpya.
“La mwisho niwakaribishe tena wananchi wote wa jirani, wabunge, wa mkoa wa Geita, waheshimiwa, wakurugenzi, wenyeviti wa halmashauri, mtakapoondoka hapa mpeleke salamu kwa Watanzania wote kwamba sasa Chato inawekezeka,” amesema Dk Kalemani.
“Tunazo baraza nzuri, tuna uwanja wa ndege mkubwa tena wa Kimataifa, hivi karibuni tunajenga uwanja wa mpira, Chato stadium ambao utatumika kuwekeza na kuvutia watalii na hasa wa nje ya nchi,” amesema
Amesema wilaya hiyo pia imepakana na ziwa Victoria na inachukua eneo kubwa na inayo madini.
“Kubwa zaidi hivi karibuni mheshimiwa Rais umezindua umeme mkubwa wa maji wa Rufiji. Kwa hiyo umeme utakuwa wa uhakika maeneo ya nchi yetu na hapa Chato,” amesema
“Kwa hiyo nichukue nafasi hii kuwaambia wawekezaji waje kuwekeza, ili Chato nayo baada ya miaka kadhaa itamkike kati ya majiji makubwa hapa nchini,” alisema Dk Kalemani.
Aliendelea kuwakaribisha wawekezaji, akisema wilaya hiyo ina uhaba wa hoteli.
“Naomba wawekezaji wakubwa wawekeze kwenye mahoteli makubwa. Tuna changamoto ya hoteli. Mahoteli makubwa kama Ma Kilimanjaro hotel, ma Seven Seven,” alisema.
Awali, Waziri Kalemani alimwomba Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kusogeza mpaka wa hifadhi hiyo ili kuwe na mpaka mkubwa ili wananchi wailinde.
Ameliomba Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoa elimu kwa wananchi ili wasidhurike na wanyama wa hifadhi hiyo.
Dk Kalemani pia ametumia fursa hiyo kumweleza Rais Magufuli kuhusu kero za wakulima wa pamba akisema wanasumbuliwa na wanunuzi wa zao hilo.
Sheria zetu ubadilishwa kwa matakwa ya watawala - kama ulikuwa hujui.Ili eneo liwe Jiji, ni lazima eneo husika liwe ni makao makuu ya mkoa.
Chato siyo makao makuu ya mkoa, kwa hiyo haiwezi kuwa Jiji.
Geita ndiyo makao makuu ya mkoa, na ndiyo inaweza kuwa manispaa, hatimaye Jiji.
Chato inaweza kufikia jadhi ya manispaa tu, na haiwezi kuwa Jiji.
Someni sheria!
Waziri wa Nishati, Dr Medard kalemani amewataka wawezaji wa ndanio na nje ya nchi kuwekeza katika wilaya ya Chato mkoani Geita kwa madai kuwa kuna fursa mbalimbali na kwamba baada ya miaka kadhaa wilaya hiyo itakuwa miongoni mwa majiji makubwa nchini
Dr Kalemani ambaye pia ni Mbunge wa Chato (CCM), alisema hayo jana katika uzinduzi wa Hofadhi ya taifa ya Burigi-Chato akiisifu kuwa wilaya hiyo yenye vivutio vya kitalii na miundombinu kama uwanja wa ndege wa kimataifa. La mwisho niwakaribishe tena wananchi wote wa jirani, wabunge wa mkoa wa Geita, waheshimiwa, wakurugenzi, wenyeviti wa halmashauri, mtakapoondoka wote kwamna sasa Chato inawezekana" alisema Dr Kalemani
Tunazo barabara nzuri, tuna uwanja wa ndege mkubwa tena wa kimataifa, hivi karibuni tunajenga uwanja wa mpira (Chato Stadium) ambao utatumika kuwekeza na kuvutia watalii na hasa wa nje ya nchi.
SOURCE: MWANANCHI NEWSPAPER PAGE NO 2