Waziri Jafo: Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa

"Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji anakuja kufanya zile kazi za wazawa"- Dkt Selemani Jafo - Waziri wa Viwanda na Biashara.

Via Clouds FM
 
Mahindi ya kuchoma na kibaridi ni mapacha
 
Muulizeni wazir je! Mwekezaji anaweza kuwa CHANGUDOA? Mbona kuna madanguro ya wawekezaji?
Anaruhusiwa kununua madini au kuchimba madini? Mbona wachina wananunua huko masaki?
Tuseme serikali haijui????
 
"Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji anakuja kufanya zile kazi za wazawa"- Dkt Selemani Jafo - Waziri wa Viwanda na Biashara.

Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa
 
Muulizeni wazir je! Mwekezaji anaweza kuwa CHANGUDOA? Mbona kuna madanguro ya wawekezaji?
Anaruhusiwa kununua madini au kuchimba madini? Mbona wachina wananunua huko masaki?
Tuseme serikali haijui????
Wawekezaji wa kuchimba madini wapo, ila lazima wapitie tume TIC na mamlaka za uchimbaji madini kupata kibali. Kama wanafanya hivyo ni kinyume na sheria na wanastahili kukamatwa

Hao wawekezaji madanguro ni different, hiyo si biashara halala na kituo cha TIC hakina biashara ya kujiuza

Ni kinyume na sheria
 
Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa
Sasa upuuzi kwa reference ya nyuma? How about hii ishu? Je ni waziri pekee aliesema kuna viwanda?
 
kabla ujio wa hao wachina hizo kazi mnazoita za wazawa hao mnaowatetea hizo kazi wanazidharau hawataki kuzifanya..wamekuja wachina wanazifanya tunawaona kama wanafaidi sana na wanatuzibia rizki kana kwamba maeneo ya kufanya hizo kazi yameisha wakati nchi kubwa hii mchina kaweka biashara hapa na ww kaweke mtaa wa pili badala yake tunalia eti ooh hizo ni biashara za wazawa wakati hamjakatazwa kufanya hizo biashara ni ww na mtaji wako tu..hii inaonesha watanzania wengi tuna wivu na roho mbaya tusiopenda mafanikio ya wengine yaani ukifeli ww utataka na wengine washindwe kama ww badala ya kujifunza kwake unataka umshushe mavumbini tumejaa ubinafsi uchoyo tu..mchina kaweka biashara kushoto na ww mzawa weka kulia na sio eti kujificha kwenye uzawa kwani hata tukiachiwa hizo kazi tutaendelea kulala usingizi wa pono kama kawaida yetu na kuendelea kusagia kunguni waliofaninikiwa.!
 
Na msomi aliyekuwa na degree au phd hatakiwi kwenda VETA
 
Kwanza ni kutudhalilisha kusema eti kazi za kuchoma mahindi na kufagia barabara ndiyo za wazawa, kwa nini serikali isiseme wachina waje kufagia barabara na kuchoma mahindi kama hawana uwezo wa kufungua kiwanda au biashara kubwa? Ukienda dubai nk utakuta wahindi ndiyo wazibua vyoo, hakuna mzawa anafanya hizo kazi dhalili, kwetu sisi imekuwa sifa ya haki kabisa eti kazi za kuchoma mahindi barabarani ni haki ya wazawa!!
 
Hakuna anaeweza kuingia kwenye nchi kama muwekezaji halafu akachoma mahindi

Acheni kutuona wapumbavu
Huyo kaja na begi la nguo mbili na hela za kuhonga tu

Anakuja hapo anatoa hela anapewa permit ya uwekezaji
Sisi tukiomba tunaambiwa onyesha matrekta yako na $200,000
Unaona kabisa hii ndio sawa
Sasa mtuambie muwekezaji alieingia na Dola laki mbili atachoma mahindi?

Pitisheni msako wa wachina wote siku moja simultaneously miji yote halafu muwaulize nani katoa hizo permits za uwekezaji

Hawa wa hivi sina huruma nao kabisa wafungwe na kusafirishwa maana hawana manufaa na sisi zaidi ya kuzaa hovyo na watoto wetu
Na waliotoa vibali mtajuana wenyewe
Walindeni tu
 
Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa
Kweli huyu ni mpuuzi sana! Anapoingia km mwekezaji hawaangalii mtaji wake? Wapumbavu TU! Wanahangaika kuiba Kura TU huku nchi inanajisiwa TU!
 
Back
Top Bottom