Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,238
- 1,655
Mama huenda wewe huelewi lisemwalo na huyo waziri. Pitia tena alichosema huenda utaambulia chochote.Huyo waziri hafahamu alisemalo, ana kurupuka na kuhororoja bila uelewa.
Tanzania toka lini mapato yanabaki (surplus)?
Bajeti yenyewe mpaka leo miaka zaidi ya 60 baada ya Uhuru bado tunasaidiwa bajeti yetu.