Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Feb 23, 2021 #1 Imagine wewe ndiye huyo jamaa ambae hajavaa barakoa hapo pembeni!πππ Your browser is not able to display this video.
Imagine wewe ndiye huyo jamaa ambae hajavaa barakoa hapo pembeni!πππ Your browser is not able to display this video.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,544 Reaction score 12,242 Feb 24, 2021 #2 Mimi sisemi
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,020 Reaction score 16,603 Feb 24, 2021 #3 Hii hufanyika kwenye nchi ambazo viongozi wake wanaabudu shetani ama wana ukichaa usiosikia dawa Lakini kwa nini muheshimiwa Mipango alishindwa kuzuia kikohozi & machozi
Hii hufanyika kwenye nchi ambazo viongozi wake wanaabudu shetani ama wana ukichaa usiosikia dawa Lakini kwa nini muheshimiwa Mipango alishindwa kuzuia kikohozi & machozi
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,964 Reaction score 17,051 Feb 24, 2021 #4 Nadhani alikohoa tu Baada ya kukutana na oxygen halisi ya Tanzania hizi oxygen za mitungi nazo ziangaliwe kwa jicho la tatu nyingine sio pure kiasi cha kufaa kwa matumizi ya Binadamu!
Nadhani alikohoa tu Baada ya kukutana na oxygen halisi ya Tanzania hizi oxygen za mitungi nazo ziangaliwe kwa jicho la tatu nyingine sio pure kiasi cha kufaa kwa matumizi ya Binadamu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,491 Reaction score 196,232 Feb 24, 2021 #5 Acha tukae kimya...
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Feb 25, 2021 #6 Halafu ni daktari! Kukaa karibu hivyo na mtu mwenye ugonjwa wa kuambukiza!!!?
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,100 Reaction score 10,912 Feb 25, 2021 #7 Mgonjwa angekataa kama alishinikizwa
Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,018 Reaction score 2,366 Feb 25, 2021 #8 This is not fair.. kusingiziwa kifo tu ndio ujitokeze hadharani kwa Hali hiyo..
Malaika Gabrieli JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 3,615 Reaction score 6,840 Feb 25, 2021 #9 Behaviourist banned!!!
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,561 Reaction score 42,953 Feb 28, 2021 #10 Politics over life new stupidity in Tanzania Behaviourist said: Imagine wewe ndiye huyo jamaa ambae hajavaa barakoa hapo pembeni!πππ View attachment 1710191 Click to expand...
Politics over life new stupidity in Tanzania Behaviourist said: Imagine wewe ndiye huyo jamaa ambae hajavaa barakoa hapo pembeni!πππ View attachment 1710191 Click to expand...