General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Najaribu kujiuliza maswali mengi sana hasa baraza la mawaziri.
Kila nikiangalia sura zote za mawaziri na manaibu wake sioni waku pingana na maamuzi ya Magufuli.
Naona Mawaziri wote waoga, wanamwogopa Magufuli.
Hii ni hatari kwa taifa, kwani linaweza tokea jambo zito ambalo Rais anaweza kuja na maamuzi yake ambayo ni hatari kwa taifa na Mawaziri wakaogopa kumshauri.
Kwa mfano lile sakata la Ziwa nyasa, au Kejeli za Kagame, sipati picha kama ingekuwa ndio Magufuli.
Mi nauliza nani mwenye uthubutu wa kupishana kauli na Rais?