Huyu mbunge kivuli wa same ni janga kwa wana same, sijui amewapa nini hawa wapare jamani, maana kila mwaka wanamcjagua, na hakuna mabadiliko yoyote hapa same, maji same mjini ni shida na watu wanaona ni kawaida tu kutokuwa na maji. ile ofisi yake pale bomani imeota nyasi, sidhani hata kama kunakatibu pale.
DAVID MATAYO NI JANGA LA SAME