Waziri Dr Kigwangala ARUSHA mjini Ugonjwa wa UTI ni jangaa

morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,519
1,852
Taarifa kwako Arusha ugonjwa Wa uti maambukizo njia ya mkojo ni jangaa kubwa .tunaomba wizara ya afya ifanye uchunguzi .na zaidi uchunguzi uanzie kuchunguza ubora Wa maji Wa Auwsa .kwani aiwezekana uti ikawa kila kona ya jiji ukapata maambukizi .ni lazima chanzo kiwe kimoja ndio inawezatokea ikawa hivyo.na chanzo kimoja wapo kikuu ni maji.na maji Arusha ni tatizo sio salama .kunawakati tunapata maji ya magadi kupitiliza yaani mpaka ukifua nguo inapauka.sasa kama inatokea wakatoa maji hivyo.kunauwezekana.wakatoa maji yenye maambukizi ya vijidudu vya U.T.I..tunaomba uje ARUSHA .kuna majipu ya kutosha
 
Back
Top Bottom